G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
Huyo ni black MailerNadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.
Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?
Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?
CC: BAK, Mshana jr, Tindo.
TransparencyYeye ni mkuu wa mkoa huo. Hivyo anaweza kushawishi wafanyabiashara na wadau wengine wa maendeleo ya jamii kuchangia. Kwa vile yeye ni boss basi hutoa kwa niaba. Rejea maelezo yake siku ya simba day.
The hardest. Unanswered Cry.Transparency
hapo umenena mkuuWe unauliza swali au jibu? Hazina ya nchi inashikilia na mkulu menyewe ambaye amemuweka mtoto a dada yake kwa hiyo anachota anavyotaka ukizingatia bunge letu haliulizi maswali limeshafungwa gavana. Kama ulivyosikia matibabu ya Ndugai yamegharimu bilioni 27!!! huu ni wizi. Makonda kuwa na pesa sana sishangai, na siyo huyo tu Tulia atkson pesa anapata wapi za kugawa kama njugu? jibu wanachota hazina maana mambo ya check and balance yamefungiwa kabatini sasa hivi tunaimba mapambio ya sifa na kuabudu huku watu akipiga kama haana akili nzuri.
mmhhh mkuu, mbona wa mikoa mingine hawana hiyo bahati kwa wafanya biashara wa mikoa yao?Yeye ni mkuu wa mkoa huo. Hivyo anaweza kushawishi wafanyabiashara na wadau wengine wa maendeleo ya jamii kuchangia. Kwa vile yeye ni boss basi hutoa kwa niaba. Rejea maelezo yake siku ya simba day.
Tulia a.k.a Nyanya Rukia a.k.a Bettina anagawa pesa kama pedeshee kule MbeyaWe unauliza swali au jibu? Hazina ya nchi inashikilia na mkulu menyewe ambaye amemuweka mtoto a dada yake kwa hiyo anachota anavyotaka ukizingatia bunge letu haliulizi maswali limeshafungwa gavana. Kama ulivyosikia matibabu ya Ndugai yamegharimu bilioni 27!!! huu ni wizi. Makonda kuwa na pesa sana sishangai, na siyo huyo tu Tulia atkson pesa anapata wapi za kugawa kama njugu? jibu wanachota hazina maana mambo ya check and balance yamefungiwa kabatini sasa hivi tunaimba mapambio ya sifa na kuabudu huku watu akipiga kama haana akili nzuri.
Huenda hawana ushawishi, ubunifu na hawachangamkii fursa. ma DC na RC wengi wana maafisa habari lakini taarifa za kazi zao ni nadra sana kuwekwa public. hii inaonesha wao si ombaomba na hawati sana umaarufu kwa migongo ya wengine.mmhhh mkuu, mbona wa mikoa mingine hawana hiyo bahati kwa wafanya biashara wa mikoa yao?
Ndugu yangu umesahau, anazowapoka wakina MO, GSM, MANJI, na wote anaowasingizia kuhusu madawa ya kulevya. Pili usisahau dili zote za uhujumu uchumi na kuteka watu anaratibu yeye, kwahiyo mzigo wote anapokea yeye. Tatu hata la ununuaji wa wapinzani analatibu yeye, kumbuka na ile T 2.4 wanazo yeye na baba yake.Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.
Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?
Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?
CC: BAK, Mshana jr, Tindo.
Kwao wanafuga ng'ombe wengi tu kama walivyo wasukuma wote. Kama wanaweza kuoa kwa mahali ya ng'ombe sitini (60) mwanamke mweupe milioni kumi si kitu kwake.Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.