G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
- Thread starter
- #101
Bado nauliza hela zinatoka wapi?
Nani huyo?Unadhani kwanini karudi Dar kimya kimya wakati aliropoka kahamia Dodoma?
Ni mkakati wa kishamba sana ambao tayari watu wote wamestukia , we waache tu waendelee na maigizo yaoNimesikia kugawa 34 M huko Muhimbili.
Na huko nyuma kufanya Mengi ya kifedha na kupitia wadhamini.
Kaswali kakaja kamenikereketa hadi nimeanzisha uzi, kwa nini na wengine wasiwe wanagawa misaada kama Huyu mkuu?
Nikajijibu
Labda hawana budget kama ya jiji LA DSM.
Labda hawana ushawishi wa kuwafanya wawekezaji mikoani wawasaidie.
Au hawana huruma kiasi cha kutotoa mishahara na malupulupu Yao kwa masikini
Kwa hili mkuu nakupongeza
There many ways to kill a ratNimesikia kugawa 34 M huko Muhimbili.