Huyu mtumishi wa Serikali anatoa wapi pesa za kutoa misaada kwa jamii?

Huyu mtumishi wa Serikali anatoa wapi pesa za kutoa misaada kwa jamii?

Usimwangalie mwenzio zahama hizi wewe pambana na hali yako. Wengine hamuna hulka ya kusaidia wahitaji. Acha wenye karama wasaidie. Biblia inasema" Heri kutoa kuliko kupokea"
 
Ndugu yangu umesahau, anazowapoka wakina MO, GSM, MANJI, na wote anaowasingizia kuhusu madawa ya kulevya. Pili usisahau dili zote za uhujumu uchumi na kuteka watu anaratibu yeye, kwahiyo mzigo wote anapokea yeye. Tatu hata la ununuaji wa wapinzani analatibu yeye, kumbuka na ile T 2.4 wanazo yeye na baba yake.
Du! huyu jamaa ni jipu kubwa sana basi!
 
Nawashauri watumishi wa umma waendelee tuu kudai na kupokea rushwa kwani vita hivi vya rushwa na blackmailing vinavyo fanywa na nani hii wa Dar kila MTU anajuwa na Huyo anayesifiwa kupiga vita matendo hayo anaona na kujua mpaka taarifa za ndani ila hasemi kitu.
Why double standard? Kila MTU aendelee awezavyo bora asishikwe tuu, haiwezekani ujinga huu
 
Usimwangalie mwenzio zahama hizi wewe pambana na hali yako. Wengine hamuna hulka ya kusaidia wahitaji. Acha wenye karama wasaidie. Biblia inasema" Heri kutoa kuliko kupokea"
Acha kuhusisha biblia kwenye mambo ya kishenzi wewe
 
Maadili ya utumishi wa umma yanasemaje kuhusu kupokea zawadi, zinawekwa akaunti gani na nani anazifanyia auditing. Tutajuaje hao wafanyabiasara hawatoi hongo ili mambo yao yawanyookee, usitufanye wote humu ni mazuzu
yes...hapo hapo ulipogonga ndo tynaibiwa hivi hivi.
 
Naambiwa kuna fungu fulani ni maalum kwa watu fulani kutapanya kwa malengo ya kisiasa
tungejua kanuni zinasemaje kuhusu mtumishi kupokea zawadi na inabidi iwekwe hadharani au iwe na akaunti maalum kila mkoa, hili lingetoa hizi hongo wanazopokea hawa watu kutoka kwa wafanya biashara haramu kw kisingizio kuwa inatolewa kutoa msaada kwa jamii huku asilimia kubwa inatiwa mfukoni
 
Je ni kweli huwaomba au hutumia madaraka yake kuwatia hofu ili apate hizo hela?
hata kama akiwaomba, sherua za utumisha wa umma zinasemaje kuhusu hizi zawadi mkuu, zinaruhusu mtu kuitia tu mfukoni na kuitoa atakayoona inafaa, na nani ana I audit?
 
Ufafanuzi alikwisha utoa kitambo sana ,ni hivi yeye huwaomba wafanyabiashara na taasisi baadhi zenye ukwasi kumsaidia pesa anapotaka kufanya jambo la kusaidia jamii, taasisi , wafanyabiashara hata watu wakawaida tu, humpatia bila mashariti na wengine hawapendi kujitangaza ila huweka rekodi zao sawa,mfano marehemu Mengi.
Kama wewe huwezi toa na saidia wapo wakielezwa wako tayari kutoa kwa moyo mmoja .
Ulichokileta hapa ni kutaka kupika majungu,ndicho tulichobaki nacho watanzania kama mtaji wetu
Dogo anapofanikisha upatikanaji wa pesa za kuwapeleka watoto nje kwenda kutibiwa, huyu mleta mada haleti uzi jukwaani, ila masuala ya Kaseja ndio yanapewa umuhimu. Roho ile ile ya kwanini.
 
Dogo anapofanikisha upatikanaji wa pesa za kuwapeleka watoto nje kwenda kutibiwa, huyu mleta mada haleti uzi jukwaani, ila masuala ya Kaseja ndio yanapewa umuhimu. Roho ile ile ya kwanini.
nimeoanisha yote hapo mkuu...
 
Back
Top Bottom