Huyu mtumishi wa Serikali anatoa wapi pesa za kutoa misaada kwa jamii?

Nimesikia kugawa 34 M huko Muhimbili.
Na huko nyuma kufanya Mengi ya kifedha na kupitia wadhamini.

Kaswali kakaja kamenikereketa hadi nimeanzisha uzi, kwa nini na wengine wasiwe wanagawa misaada kama Huyu mkuu?

Nikajijibu:
Labda hawana budget kama ya jiji LA DSM.
Labda hawana ushawishi wa kuwafanya wawekezaji mikoani wawasaidie.

Au hawana huruma kiasi cha kutotoa mishahara na malupulupu Yao kwa masikini
Kwa hili mkuu nakupongeza
 
Ni mkakati wa kishamba sana ambao tayari watu wote wamestukia , we waache tu waendelee na maigizo yao
 
There many ways to kill a rat
 
Ndo maana wanamchukia CAG maana ni wezi na pesa nyingi ni wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…