Huyu muhudumu wa kaunta ni kama ananimezea mate

Hizo dalili za kuanza kulewa,we unavyofikiri kakupendea nini,au umekuwa handsome ghafla....
 
Haki ndio hali napitia sahivi ngoja niende tu maskani nisiuponzee, serious kabisa kaja mdada kauanika mbele yangu nmempotezea muda ila mdau kaniuliza mbona kama huyu dada wa kaunta kakuanikia Mkuu
Trust me broo we‘re in the same situation. Nilipanga kuondoka mapema ila naona nitachelewa kuondoka. Naomba na wewe usitoke hapo so we can share what‘s happening
 
Itakuwa ushaanza kulewa mkuu. Kama huwa unaendesha, ita mtu aendeshe akurudishe nyumbani.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…