Huyu muhudumu wa kaunta ni kama ananimezea mate

Hahaaaa mbinu kali za pori hizi ,mimi mwenyewe nilifundishwa na mpuuzi mhuni mmoja hivi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Anajaribu kutest kuona kama umeshakolea, ili akubambikie bili ya vinywaji.

Ukishaanza kutabasamu hovyo tu kama kichaa hapo tayari anajua ushakolea
 
Mtego huo..... shauri yako
 
Uzi tayari...!!!
 
Valeur izo zimepanda kichwani unasema counter anakumezea mate kumbe anakushangaa jinsi ulivyo umemeza chupa mzima na kinusu na fegi juu uyo dada anakuchora tuuu any way valeur haijawai kukuacha mtu salama punguza ulevi ndugu
 
Valuer ni noma
Yaani ni nusu sumu
Ina hangover mbaya mno
 
Kunywa pombe achana na misigara.

Wanasayansi wanasema wavuta sigara ni watu wenye uwezo mdogo sana wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ