Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hiyo familia ya LOAN wengi jamani 😄 🤣 😂
Flani Loan
Hivi hakuwa na kazi nyingine zaidi ya mikopo au ni addiction
Flani Loan
Hivi hakuwa na kazi nyingine zaidi ya mikopo au ni addiction
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PAYE ni kubwa sana kwa huu mshahara, mshahara is like 600 or 700 USD.Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu?
Huwa anaishije?
View attachment 2987042
hilo deni NBC haiwezekani makato iwe elfu kumi tu kwa mwezi.Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu?
Huwa anaishije?
View attachment 2987042
Yupo TGTS GHuyo ni mwalimu mkongwe kulingana na hiyo salary. Atakuwa anaishi poa tu kwasababu hapo take home kama laki 5
Huo mbona mdogo hapo kama anadiploma ndo anaishia hapo Kwa maana Hilo ni daraja lake la mwisho atakachokuwa anapata ni nyongeza ya Kila mwaka.lakini kama anaelimu ya shahada anakwenda mbele Madaraja mawili TGTS H &TGTS I NA Hilo TGTS I =2,500,000+Huo mshahara mkubwa mno huyo siyo mwalimu
Hii ni edited huwezi kukopa mikopo mingi hivyo na yote ukapewa..