Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

Hiyo familia ya LOAN wengi jamani 😄 🤣 😂
Flani Loan
Hivi hakuwa na kazi nyingine zaidi ya mikopo au ni addiction
 
Kuna payslip za watu ukiziona zinafanya uogope maisha sana na uongeze bidii na nidhanu,

Imagine mtu anakopa 30M sehemu 3 na anaishi kwa kudunduliza, wakati wengine tunawaza 30 ununue gari au umpe mtu zawadi, tuwaheshimu sana watu wanaopambana kutafuta maisha, kuhonga na kuishi kwa kuvimba sio issue
 
Watu badala ya kuangakia take home mnakomaa na madeni,wakati mengine anakatwa elfu 10😁😁.

Sema sijui kakopeshwaje makato hayo!!!
 
Si anayo alio kopa hapo ndio anaishi nayo.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
mkuu umeamua kuja kunianika,na kuamua kunianziashia thread,nakuambia kuwa kwa makato hayo ninakula na kunywa vizuri tu na pengine hunizidi kwa lolote,na kwa kukuongezea kwa salio lililobaki nimeweka kadi rehani but bado naishi
 
Huo mshahara mkubwa mno huyo siyo mwalimu
Huo mbona mdogo hapo kama anadiploma ndo anaishia hapo Kwa maana Hilo ni daraja lake la mwisho atakachokuwa anapata ni nyongeza ya Kila mwaka.lakini kama anaelimu ya shahada anakwenda mbele Madaraja mawili TGTS H &TGTS I NA Hilo TGTS I =2,500,000+
 
Sielewi hapo deni ni mil 13 makato nu elf 10,je atamaliza lini?
 
Ukishajua mbinu zake itakusaidia nini mtoto wa kiume?
 
Inawezekana amekopa akaanzisha mradi unaomuingizia fedha zaidi ya mshahara ambao anapokea.
Unawezakuta hapo hata hategemei tena huo mshahara kusurvive
 
Ila hii nchi kumbe ina wanaume legelege sana. Kwamba mtu hawezi kuishi kwa Tsh.500,000/= tena nje ya jiji? Mimi naweza sana tu.
 
Back
Top Bottom