Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Mimi matusi hapana, napenda ke mkali, kamsimamo flani. Mwenye kuhoji hoji, sipendi ke wa kuitikia ndioo tu huwezi kuendelea. Mke/ mpenzi ni zaidi ya kujamiana ujue...ni msaidizi na msaidizi lazima awe na haiba flani inayoendana na mimi
Vipi ingetokea mara paaaaaaaaaaaap! Mange Kimambi ndio mwenzi wako
 
Aisee kumbe unajijua ahsante kwa hilo.
Hutaamini ila nipo makini na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…