shemahenga
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 130
- 51
huenda kwa Elgibo! Ni mcharuko hahahahahahahaKwa hiyo wewe uko kama mkuu Elgibo tehe tehe tehe tehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huenda kwa Elgibo! Ni mcharuko hahahahahahahaKwa hiyo wewe uko kama mkuu Elgibo tehe tehe tehe tehe
Mimi matusi hapana, napenda ke mkali, kamsimamo flani. Mwenye kuhoji hoji, sipendi ke wa kuitikia ndioo tu huwezi kuendelea. Mke/ mpenzi ni zaidi ya kujamiana ujue...ni msaidizi na msaidizi lazima awe na haiba flani inayoendana na mimiKwa hiyo wewe uko kama mkuu Elgibo tehe tehe tehe tehe
Haya ngoja niutafte. Ila ninatatizo. Sijuw kutumia Jf vizuri.Ni kama nilisha uona vile!
Vipi ingetokea mara paaaaaaaaaaaap! Mange Kimambi ndio mwenzi wakoMimi matusi hapana, napenda ke mkali, kamsimamo flani. Mwenye kuhoji hoji, sipendi ke wa kuitikia ndioo tu huwezi kuendelea. Mke/ mpenzi ni zaidi ya kujamiana ujue...ni msaidizi na msaidizi lazima awe na haiba flani inayoendana na mimi
hahahahah,hapana niko poa kabisaDada NAHUJA inaonyesha una hasira sana kama dume
hahahaah, search uandike hivyo inaweza kukuleteaHaya ngoja niutafte. Ila ninatatizo. Sijuw kutumia Jf vizuri.
Tofautisha ukali na matusi, Mange hata salamu simpi, binafsi matusi siyajui na sipendiVipi ingetokea mara paaaaaaaaaaaap! Mange Kimambi ndio mwenzi wako
mmmmh! ngoja nikimbie nimwachie cocochanel huu msala
Mkuu usinicheke. Mara moja moja inatakiw tuw wawazi.hahahahah,hapana niko poa kabisa
Sweetheart nimekumicSionani na mtu
Kwani cocochanel kanifanya ubaya gani?
Yaan coco hivi we ni MTZ? Siku zingine unaandika sijui manini
Nimemsifia Sky Eclat, ila kuna mtu ameomba na yeye nimuwekee wanaume ambao wanatabia njema humu JF ndio nikakuweka, hahahaha
Nimekumiss pia NAHUJA kanisifia Kua akitoka esky clay nafatia mi Kwa ustaarabu humu jfSweetheart nimekumic
Aisee kumbe unajijua ahsante kwa hilo.Ni kweli nimebadilika hata mimi najishangaa. Sijui ni huu utu uzima au ni huu ulokole ninao utamani.
Yaani jukwaa la wakubwa nalipita kama silioni vile, halafu silipendi linanikera mno.
Mods please niondoeni jukwaa la wa kubwa.
.
.
This is so serious!
Cc : Mods
Hapa naamini humaanishi mimi, right?
Kweli kabisa Dina uko vizuri sanaNimekumiss pia NAHUJA kanisifia Kua akitoka esky clay nafatia mi Kwa ustaarabu humu jf