Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Akiwa Ndio yule kuna kosa gani?

Kawaida sana bwashee wengine wanauza madafu wengine wanauza Siasa huko Ufipani 😂
Hakuna kosa. Ila nadhani hatuelewani au umeamua kutonielewa.

Ninachosema Mimi, hao ni watu wawili tofauti. Haijalishi yule kuuza dafu Ile ni cover au uhalisia.
 
acha umbea😂
Acha basiiiii mi nataka nijue kama ni huku ngerengere nikaombe pale mahojiano nae
Kuna vitu anavyo nimemuelewa kwakweli 🤣🤣🤣
 
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.

Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.

Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.

Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!

Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

View attachment 2974869

View attachment 2974798

View attachment 2974800
Hata huyo jamaa aliyevaa jezi ya NMB sio raia huyo ni askari kabisa, angalia mwili ulivyokakamaa, Kisha angalia huo unyoaji wake wa ndevu.
 
Looks like watu wawili tofauti kisura. 😎

-Kaveli-
 
Acha basiiiii mi nataka nijue kama ni huku ngerengere nikaombe pale mahojiano nae
Kuna vitu anavyo nimemuelewa kwakweli 🤣🤣🤣
kama kawaida ni tall kiasi, mweusi , mshahara mnono nyota 3 c mchezo😂
 
Hadi jumatatu,.ayo TV itamtafuta huyu muuza madafu na huyu captain ili utata uishe..may be ni ndugu yke japo hata huyu muuza madafu nae ni kitengo..
 
H
Nilisema humu.

Huyo Mama alikuwa anakataa kusikiliza chochote kutoka kwa watu hohehahe kwenye ziara zake halafu ghafla wapate gate pass ya kuingia ikulu kuuza madafu.

Ilikuwa A Sultan Tamba film.

Halafu unamleta tena kwenye kadamnasi mtu huyohuyo aliyetoka kuchafua hali ya hewa!
Hapo ndio nimeona upuuzi
 
Daaah ukisikia viongozi kutugeuza sisi mataahira basi ndo hii sasa, Hii ni kutudharau kulikon pita kiasi. haikubaliki hii kudadeki zao.
 
Wengi tulishaona hao jamaa wote wawili walionekana kuwa wakakamavu kuliko wauza madafu wa kawaida huku wakiwa na haiba ya watu ambao wako very alert.Kwa watu wamedani ukiwatazama tu unaona kabisa kwamba ni watu ambao ni PSU.

Any way ni sehemu ya majukumu yao.
 
Yaani hata wewe ulitegemea muuza madafu kama Mimi nijiendee Ikulu kumuuzia the First Citizen madafu? Kuna behind the scenes nyingi tu mnapaswa kujiongeza!
Siasa ni Sanaa!
Ikulu wanaingia watu wangapi? Kila anayeingia ni mwanausalama?
 
Back
Top Bottom