Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Kwa kweli huwa nashangaa sana kuona kuba watu wanapoteza mda kumfollow na kamsikiliza, hasa magentlemen
Lazima ujichetue kidogo.

Lugha yake ni mbovu, lengo lake kuu ni kudhalilisha watu na kujipatia pesa na umaarufu.
 
Suala la Ulinzi wa Nchi hii uko very complicated.

Miaka ya zamani ilikuwa wanatumiwa watu wenye kuonekana kama machizi Mtaani

Ikaja Kwa Walimu

Na sasa wamehamia kwenye Boda Boda na Wauza madafu hapo Mtaani kwako
Naunga mkono hoja
 
Uliwahi kuona Komandoo anahutubia Uwanjani?! 🐼
Ushawahi kuona popote pale serikali inafanya jambo kwa ajili ya wananchi wake, alafu inaweka bango likisema "Ili jambo limefanyika kwa msaada wa serikali ya awamu fulani?"

Kwa Tanzania, Kila kitu kinawezekana.
 
Kama ni yeye 3 stars captain then full bawa na hio age yake basi jamaa yupo vizuri
UPSTAIRS
PHYSICAL
MEDANI

WHAT IF TUMEONYESHWA TENA ILI TUANZE KUMJADILI YEYE?
Kesho jumapili ilitakiwa kuwe na tukio. Ngoja tuone
 
Hakika ni w
Komando anaweza kuuza madafu, na muuza madafu anaweza kuwa komando.

Ila ninachokataa Mimi ni kusema huyo komando ndio yule kuuza dafu. Ilo nakataa
hakika watu 2 tofauti
 
Yaani, mi, ccm inavyotudharau, hata, kuficha madudu Yao, hawaoni umuhimu
 
Komando anaweza kuuza madafu, na muuza madafu anaweza kuwa komando.

Ila ninachokataa Mimi ni kusema huyo komando ndio yule kuuza dafu. Ilo nakataa
Akiwa Ndio yule kuna kosa gani?

Kawaida sana bwashee wengine wanauza madafu wengine wanauza Siasa huko Ufipani 😂
 
Back
Top Bottom