Hakuna kosa. Ila nadhani hatuelewani au umeamua kutonielewa.Akiwa Ndio yule kuna kosa gani?
Kawaida sana bwashee wengine wanauza madafu wengine wanauza Siasa huko Ufipani π
Acha basiiiii mi nataka nijue kama ni huku ngerengere nikaombe pale mahojiano naeacha umbeaπ
Hata huyo jamaa aliyevaa jezi ya NMB sio raia huyo ni askari kabisa, angalia mwili ulivyokakamaa, Kisha angalia huo unyoaji wake wa ndevu.Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800
Ndio.Hivi vinchi vyetu tunajitafuta kwakweli
Hivi na huko marekani ulaya, Israel, iran na japan au china makondo wao tena captain kabisa wanawafanyia km hawa wetu huku.
kama kawaida ni tall kiasi, mweusi , mshahara mnono nyota 3 c mchezoπAcha basiiiii mi nataka nijue kama ni huku ngerengere nikaombe pale mahojiano nae
Kuna vitu anavyo nimemuelewa kwakweli π€£π€£π€£
Mimi naona watu wawili tofauti.Looks like watu wawili tofauti kisura. π
-Kaveli-
Sisi tulitaka, atokee hukohuko ila yeye akatudanganya!Kwani mlitaka muuza madafu wa Ikulu atokee wapi?
Hapo ndio nimeona upuuziNilisema humu.
Huyo Mama alikuwa anakataa kusikiliza chochote kutoka kwa watu hohehahe kwenye ziara zake halafu ghafla wapate gate pass ya kuingia ikulu kuuza madafu.
Ilikuwa A Sultan Tamba film.
Halafu unamleta tena kwenye kadamnasi mtu huyohuyo aliyetoka kuchafua hali ya hewa!
Halafu unajua wewe fanya mpango wa kupunguza upuuzi wako!Sio yeye.
Acheni ujinga.
Wewe huyo!Mimi naona watu wawili tofauti.
Ahaaa sasa itakuwaje?Sisi tulitaka, atokee hukohuko ila yeye akatudanganya!
Mi sijui wenyewe na upuuzi wao.Ahaaa sasa itakuwaje?
Kwa sababu hawana uweledi.Hata hivyo Raia wanastuka mapema sana !
Una shida kubwa!Mkuu yani ndio nimeamini waTz wengi wana matatizo ya kuona yani hawa ni watu wawili tofauti na hawafanani hata kidogo.
Ikulu wanaingia watu wangapi? Kila anayeingia ni mwanausalama?Yaani hata wewe ulitegemea muuza madafu kama Mimi nijiendee Ikulu kumuuzia the First Citizen madafu? Kuna behind the scenes nyingi tu mnapaswa kujiongeza!
Siasa ni Sanaa!