Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Hao tiss wa kawaida mtu anasoma hand to hand fighting miaka mitano,itakua special forces!!..hapo kasoma nje miaka mitano achilia mbali ile miaka miwili ya tiss
 
Achana nae huyo
 
Special forces hawana advanced skills za mixed martial arts.

Mixed martial arts kwenye special forces ni supplemental tu.

Sijawahi kuona advanced training [ya hand to hand combat] ile kwa special forces.

Hakuna tofauti yoyote ya mixed martial arts training wanayopata special forces na vikosi vingine vya kawaida.
 
Mkuu Gentamicine tatizo siyo ambavyo umeliweka ila tusiyo na uelewa wa masuala ya usalama tulionyesha kutokuamini kama muuza madafu wa ikulu ni kapuku wa mtaani. Ila wengi huku labda na wewe ukiwemo ukatuhakikishia yule ni muuza madafu kweli.
Kwa hiyo mleta mada ametaka kutuhakikishia wasiwasi tulipokiuwa nao ulikuwa ni halali
 

Nchi imekaa kikachero Sana Hii😊
Kikachero wapi wanashindwa kuwadhibiti wakimbizi wanaingia mpka kwenye ma vyeo makubwa Serikalini na Utumishi wa Umma Halafu wanaleta Telemundo za Kifilipino na MUUZA NAZI😂😂 Ndo mana Ba hima Empire wanatuona kiusalama na kiinjelijensia weupee peee labda kijeshi
 
Haya mambo wala sio magumu kiasi hiki. We uliona wapi muuza madafu ana six packs??
 
Yani wewe kuhusishwa na mauwaji ndio ukajiaminisha kila mtu ni mjinga hapa JF?

Oparesheni za Mossad zinatekelezwa na Ashkenazi.

Halafu Tanzania haina kitisho chochote cha usalama kutoka nje, ukija kusikia vita basi itakuwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya raia kuchoshwa na ccm.
 
Kumbe haujawahi kuona... Nilijua haipo kabisa. Ndio ipo Advanced Training ambayo wewe unataka kuaminisha watu fikra zako kwamba haipo
 
Hakuna cha ujasusi cha maaana kilichofanyika hapo, ni ujinga, utoto wa darasa la kwanza, pale ikulu kulikuwa hakuna maana ya kupeleka muuza madafu mchafu mchafu, kwa nia ya kuonyesha samia anajari saaaana, maisha ya watu,
Hata kwa mtu asie kuwa na elimu kubwa ya ujasusi, chakula, cha ikulu, haununui tu popote na kukipeleka ikulu, wala watu hawaingii ikulu kiholela, lazima security background check up ifanyike,
Sasa wajinga wa ccm, wanataka kutuaminisha kwamba, kuna muuza madafu mmoja, alikuwa anapita zake huko njiani, na mishe zake, wakamuomba aende ikulu auzie madafu watu wanaofuturu!
"Yaani, walinzi wa ikulu, wakaona muuza madafu, wakamuita, " Hey jombaa, una madafu yenye making, na nyama za kutosha? Ndio ninayo! Njoo basi ndani hapa umuuzie samia na, wageni zake! Total crap!
Ile kitu ilitayarishwa, jumbo linalokela, kama walikuwa wanataka madafu ya kitaa, kwanini wadanganye? Na kufanya maigizo! Ule muonekano wa wauza madafu, ni kutokana na mazingira ya kazi Yao, jasho, uchafu wa kukata madafu nk,kuwakaribisha ikulu(sio kweli hakuna muuza madafu aliyekaribishwa ikulu) wakiwa wachafu na nguo za kazi, ni kuwadhalilisha!
Hebu fikiria, upo zako kitaa, Mara gari LA, polisi hilo wanashuka polisi, wanakuambia twende ikulu ukamuuzie Samia madafu!
Nchi imejaa wajinga
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…