Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Bongo nyoso, ndo kawaida yetu, minor things tunavikuza Weeeeeeeeeeeeeeee 🤒😎
 
HIyo habari imeshachakaa sasa leteni nyingine.
 
HIyo habari imeshachakaa sasa leteni nyingine.
mim naona haina maana ata ya kumjadili badala nchi iongeze kasi ya kuwekeza kweny Technological intelligence na kuboresha Cyber Security huko tumenganana sjui anauza madafu sjui mwenyewe kama Starlink zinashika bila ata kikwazo.Na TCRA wamezuia kuna usalama gani apo watu kama wana nia mbaya si wana collect information zenu vizuri tu na miji kama DSM si wafanye kama walivofanya Posta Piga Advancement CCTV kamera mji mzima pia tuwekeze kweny reconnaisse satellite aya mambo ya kutumia wauza mapanga sjui madafu ni mbinu za kale izo
 
Sikuzungumza kulinganisha fighting skills za Special forces na MMA.. Nilichokataa ni kusema Special Forces wanapewa basic. Hiyo research ya wapi bro. Mwanajeshi wa kawaida atapewa nini pia kama special Forces akipewa Basics?. Wanaweza wasiwe bora wote inategemea pia na kichwa chako katika mapokeo ya skills. Lakini msipende kuleta hoja za kudanganya watu humu ndani.. Achana na mtu anayeitwa Special Forces.
Naaam mi nilijaribu kumuuliza ndiyo alikuja na majibu hayo. Nimependa sana hoja yako kama askari wa kawaida tu ndiyo anapewa basics za hand to hand combat yani tena askari wa SF apewe basics za mapigano?

Mi nadhani zile combination kipindi zinachezwa uwanja wa uhuru watu walikuwa wanachukulia kawaida wamesahau ile ni demo tu.
 
Special forces hawana advanced skills za mixed martial arts.

Mixed martial arts kwenye special forces ni supplemental tu.

Sijawahi kuona advanced training [ya hand to hand combat] ile kwa special forces.

Hakuna tofauti yoyote ya mixed martial arts training wanayopata special forces na vikosi vingine vya kawaida.
Yani unataka kuniambia askari aliye kozi ya awali kabisa ya mafunzo ya kivita ile sanaa yake haina utofauti wowote na kwa mtu anayekuja kufanya kozi ya CDO?

Je unafahamu hata katika vitu kama misimamo kuna basic na advanced, sembuse mtaala unavyoendelea? Your not serious.
 
Tushukuru Kwa tulichonacho hata sasa..Kulinda nchi na mipaka ni zaidi ya Silaha pia mbinu Za Kibona Damu..Uzalendo unaoonyeshwa na majeshi yetu ktk level mbalimbali si jambo la kubezwa Bali kutukuzwa..

Tunahitaji uwekezaji mkubwa ktk teknolojia na kuongezwa upya Kwa vitengo vya kimkakati Kwa kuzingatia matakwa ya dunia ya leo..

Mathalani jeshi letu lapaswa kuwa na vitengo vya Information Support Force, the Aerospace Force and the Cyberspace Force.Vitengo hivi vihusishe uwekezaji wa kiteknolojia Za Kisasa yanayohusisha AI,Robotics instruments and cybersecurity systems.

Ni wakati sasa baadhi ya nafasi Za uongozi ikiwamo Uwaziri,Unaibu Waziri na Ukatibu mkuu ktk Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa,Mambo ya ndani wapewe wanajeshi wastaafu Kwa ngazi ya Ujenerali (Generals)..Hili litaimarisha sana weredi na ustawi wa usimamiaji uzalendo Kwa maslahi ya taifa letu.
Tatizo la Tanzania ni kuwa utaalam uko nyuma na siasa iko mbele. Kwetu, mwanasiasa ndiye mtaalam wa kila jambo na ndiye anayepanga. Nchi za wenzetu, wataalam ndiyo hutoa miongozo ya mambo yote muhimu. Waziri anaweza kuwa mtu yeyote mwenye weledi na elimu nzuri mradi tu awe na wataalam.
 
Back
Top Bottom