Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Tatizo la Tanzania ni kuwa utaalam uko nyuma na siasa iko mbele. Kwetu, mwanasiasa ndiye mtaalam wa kila jambo na ndiye anayepanga. Nchi za wenzetu, wataalam ndiyo hutoa miongozo ya mambo yote muhimu. Waziri anaweza kuwa mtu yeyote mwenye weledi na elimu nzuri mradi tu awe na wataalam.
Hapa ndipo tunapokwama

Baadhi ya Wanasiasa wa leo dunia ni wafanyabiashara kupitia siasa..Sababu wengi wanaingia ktk ulingo wa siasa wakiwa maskini kabisa baada ya miezi au miaka michache wanakuwa mabilionea..

Asilimia kubwa ya wanasiasa hawana uzalendo uliotukuka..Miiko ya uongozi haipo nafsini Meso..Wamekuwa wa binafsi,wachoyo,walafi,wakatiri..Though Wapo wenye hofu ya Mungu na maadili ingawa ni wachache sana..

Tuzidi kuwaombea Viongozi wetu ili Mwenyezi Mungu awafungue roho,nafsi na mioyo yao wawe sadaka Kwa ajili ya taifa na vizazi vijavyo
 
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini?

Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali Huwa mengi ila pia Huwa na majibu.

Sio jambo lakawaida mtu alie undercover kuwa exposed sio rahisi.

Mossad ambao chini ya vikosi vyao maalumu vya assassination wamekuwa na haka katabia ila mara zote Huwa wanatoa hizo taarifa baada ya miongo kadhaa. Mfano nikatikamiaka ya hivi karibuni Dunia imeweza kujuwa vile Mossad walifanya mauwaji ya kulipiza kwa viongozi wa Hamas kutokana na mauwaji ya Munich German ambapo Waziri Mkuu wa wakati ule aliapa kila alie panga au kutekeleza Yale mauwaji lazima auwawe. Hii ni moja ya operation ngumu sana ilio tekelezwa na Mossad chini ya special force Kidon🤔.

Ktk Dunia ya ujasusi kila kitu kinawezekana. Ikumbukwe ktk Taifa lolote duniani Kuna special walinzi wa Rais ambao hawa hutoka ktk idara nyeti za usalama na jeshi. Ni team ambayo wanasema Huwa inabadilika baada ya muda wa Rais kuisha.🤔

Nikatika team hii ambayo imesheheni wadunguaji na viumbe hatari ktk Tasinia ya usalama ndio Huwa na aina hii ya watu, wauza mahindi, matunda au kuchoma nyama yes hawa ni special unit ya ulinzi wa Rais ambao huratibu usalama wa Rais na vile wanaweza cheza na hisia zenu.

Inasemekana huko miaka ya nyuma jeshi kilikuwa halina intelligence yake jambo lilikuwa likileta shida ktk mambo ya taarifa. Hivyo chini ya wanakidoni wa Tz ikaanzishwa hiyo military intelligence ambayo matokeo yake ndio hayo mnaona sasa. Nadhani mnanielewa.

Twende kwenye awali why mchoma mahindi amegeuka kuwa komando japo yeye anakataa jambo Hilo kitu ambachobni sahihi maana hatokubali. Haya Yesu ashuke maana kukiri kwake kwaweza kuwa ndio mwisho wa safari yake.😭🤐.

Kuna somo kubwa sana ktk ulimwengu wakijasusi lazima wa Tanzania mjifunze nakuamka sasa. Kiufupi Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tz ametuma msg ngumu sana kwa watanzania na wale wanamzunguka.

Msg yake nifupi sana Mimi ni mama ila msinichukue poa. Nimevaa gauni ila ndani Nina combat ya kikomando na tusifanyiane mchezo.

Ndugu zangu kiufupi hapo Jirani panafuka Moshi na zipo taarifa amabazo sio rasmi Tz wanataka chomoa better 🤐

Ila wanashauriwa kabla ya kuchomoa yatawakuta mambo magumu sana hivyo mna pewa wosia muwe makini. Ndio sura ni ya mchoma mahindi ila Yeye sie mchoma mahindi mmemfananisha🤐🤔
Watanzania kwa ujuaji ujuaji tu. Laiti tungewekeza weledi wa ujuaji ujuaji kama huu kwenye uchumi, utawala bora kupigana na ufisadi tungekuwa mbali na kuleta unafuu na maisha bora kwa wananch.
 
1714243229046.png
 
Sasa si ujibu tu hayo maswali niliyokuuliza!

🤣

Sasa si ujibu tu hayo maswali niliyokuuliza!

🤣

Naaam mi nilijaribu kumuuliza ndiyo alikuja na majibu hayo. Nimependa sana hoja yako kama askari wa kawaida tu ndiyo anapewa basics za hand to hand combat yani tena askari wa SF apewe basics za mapigano?

Mi nadhani zile combination kipindi zinachezwa uwanja wa uhuru watu walikuwa wanachukulia kawaida wamesahau ile ni demo tu.
Huwa ni mkurupukaji sana kwenye mada ambazo hana uelewa nazo.. Na sehemu kubwa sana ya hoja zake zimejaa hisia zaidi kuliko mantiki. Na ukituliza akili ukamchunguza sana ana chembechembe za wivu sana akihisi mtu fulani anasifiwa anatamani hizo sifa apate yeye.. Special Force anakuwaje sawa na Mwanajeshi wa kawaida hata katika Training? Ni akili za kilevi hizi jamaa alizokuwa nazo na ujuaji usiokuwa a maana.. Special Force ni kikundi maalumu kinachoongezewa mafunzo adhimu zaidi kuliko mwanajeshi wa kawaida kutekeleza majukumu katika mazingira ambayo kwa akili ya kawaida ya kijeshi inaonekana haiwezekani.
 
Huwa ni mkurupukaji sana kwenye mada ambazo hana uelewa nazo.. Na sehemu kubwa sana ya hoja zake zimejaa hisia zaidi kuliko mantiki. Na ukituliza akili ukamchunguza sana ana chembechembe za wivu sana akihisi mtu fulani anasifiwa anatamani hizo sifa apate yeye.. Special Force anakuwaje sawa na Mwanajeshi wa kawaida hata katika Training? Ni akili za kilevi hizi jamaa alizokuwa nazo na ujuaji usiokuwa a maana.. Special Force ni kikundi maalumu kinachoongezewa mafunzo adhimu zaidi kuliko mwanajeshi wa kawaida kutekeleza majukumu katika mazingira ambayo kwa akili ya kawaida ya kijeshi inaonekana haiwezekani.
Utaandika magazeti yote leo lakini maswali yangu mawili tu yamekutoa kwenye reli na kuanza personal attacks 🤣 na kuninukuu mara mbilimbili. Dalili za mtu aliyeshindwa hoja.

Yajibu basi yale maswali yangu mawili.
 
Utaandika magazeti yote leo lakini maswali yangu mawili tu yamekutoa kwenye reli na kuanza personal attacks 🤣 na kuninukuu mara mbilimbili. Dalili za mtu aliyeshindwa hoja.

Yajibu basi yale maswali yangu mawili.
Yale sio maswali bali ni ulimbukeni uliojificha kwenye swali ndio maana sijajibu.. Kutaka kunionyesha kwamba unafahamu martial Arts.
 
Yale sio maswali bali ni ulimbukeni uliojificha kwenye swali ndio maana sijajibu.. Kutaka kunionyesha kwamba unafahamu martial Arts.
🤣🤣

Umeshindwa kuyajibu kwa sababu hujui unachokiongelea ndo maana unajificha nyuma ya lame excuse.
 
Basi itoshe kusema kipengele cha mwendelezo/continuation kwenye movies kilitesa ma directer weng miaka ya nyuma hasa hapa tz but nowdays huwez ona makosa ya yalokuwa yanatokana na mwendelezo. Yan kustop kwa movies na kuja kuchezwa wakati mwingine

hichi kilichotokea hapa kimenikumbusha idara moja ambayo nayo ilikuwa inafanya makosa kama haya ila saiviiiii imekuwa hatarii. Yan movie kama kama live vileee

Propaganda huwa ni rahisi kuigundua ikiwa unafuatilia mambo
 
Kama ni yeye 3 stars captain then full bawa na hio age yake basi jamaa yupo vizuri
UPSTAIRS
PHYSICAL
MEDANI

WHAT IF TUMEONYESHWA TENA ILI TUANZE KUMJADILI YEYE?
Oyaa acha kujaribu kubadilisha magoli. Mmebugi kubalini tu. Msituone sisi ni rahisi kupangwa.
 
TAARIFA

Tarehe 26/04/2024 kupitia mitandao ya kijamii zilionekana picha za Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akifananishwa na muuza madafu aliyewahi kuuza madafu ndani ya Ikulu wakati wa futari iliyoandaliwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Komredi, Mheshimiwa, Dokta, Mama rais Samia Suluhu Hassan.

Picha hizo zilizua taharuku kwa wanamchi wanyonge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kupelekea kutoelewa kama waiamini Serikali yao au lah. Jeshi la Polisi linapenda kwanza kusikitishwa na picha hizi zikihusishwa na mtu mmoja, badala ya watu wawili tofauti. Pia Jeshi la Polisi linapenda kuwakumbusha wananchi wanyonge wa Jamhuri ya Muunganobwa Tanzania kwamba duniani ni wawili wawili.

Jeshi la Polisi linamtaka aliyesambaza picha hizo mitandaoni akizisindikizia na habari kujisalimisha kituo chochote cha Polisi kilicho karibu naye ili Jeshi la Polisi liweze kumuelewesha kwa amani na upendo kama zilivyo tunu zetu.

Ahsanteni sana
Wewe jamaa cheka sana
 
Nchi masikini naziona zidhalilika kwenye High tech security systems and strategies.
 
Hivi swala kikokotoo limeishia wapi?

Umeme umezidi mpaka tumezima mitambo bei inashushwa au haishushwi?

Mimi yangu ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom