Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Bongo nyoso, ndo kawaida yetu, minor things tunavikuza Weeeeeeeeeeeeeeee 🤒😎
 
HIyo habari imeshachakaa sasa leteni nyingine.
 
HIyo habari imeshachakaa sasa leteni nyingine.
mim naona haina maana ata ya kumjadili badala nchi iongeze kasi ya kuwekeza kweny Technological intelligence na kuboresha Cyber Security huko tumenganana sjui anauza madafu sjui mwenyewe kama Starlink zinashika bila ata kikwazo.Na TCRA wamezuia kuna usalama gani apo watu kama wana nia mbaya si wana collect information zenu vizuri tu na miji kama DSM si wafanye kama walivofanya Posta Piga Advancement CCTV kamera mji mzima pia tuwekeze kweny reconnaisse satellite aya mambo ya kutumia wauza mapanga sjui madafu ni mbinu za kale izo
 
Naaam mi nilijaribu kumuuliza ndiyo alikuja na majibu hayo. Nimependa sana hoja yako kama askari wa kawaida tu ndiyo anapewa basics za hand to hand combat yani tena askari wa SF apewe basics za mapigano?

Mi nadhani zile combination kipindi zinachezwa uwanja wa uhuru watu walikuwa wanachukulia kawaida wamesahau ile ni demo tu.
 
Yani unataka kuniambia askari aliye kozi ya awali kabisa ya mafunzo ya kivita ile sanaa yake haina utofauti wowote na kwa mtu anayekuja kufanya kozi ya CDO?

Je unafahamu hata katika vitu kama misimamo kuna basic na advanced, sembuse mtaala unavyoendelea? Your not serious.
 
Tatizo la Tanzania ni kuwa utaalam uko nyuma na siasa iko mbele. Kwetu, mwanasiasa ndiye mtaalam wa kila jambo na ndiye anayepanga. Nchi za wenzetu, wataalam ndiyo hutoa miongozo ya mambo yote muhimu. Waziri anaweza kuwa mtu yeyote mwenye weledi na elimu nzuri mradi tu awe na wataalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…