Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
ππ€£π πHuyo sio mimi. Mnanifananisha tu.
We muuza madafu π€£π€£π€£Sio mimi huyo. Acheni kunifananisha na kunitukana.
πππSio mimi huyo. Acheni kunifananisha na kunitukana.
Unacheka nini? Yule sio mimi.πππ
Ndio nini? Yule sio mimi.Kaole
Yule sio mimi.hiii nchi ina maigizo sana aise
Acheni kuzusha, yule sio mimi.Kila mtu muongo nchi hiiπ€£π€£
BgamoyoNdio nini? Yule sio mimi.
Nashangaa wanalazimisha na kunizushia kuwa yule ni mimi.Siyo yeye ni wamefanana kwa mbali, angalia macho yana distance tofauti kutoka pua to jicho.
Acha ukichaaNashangaa wanalazimisha na kunizushia kuwa yule ni mimi.
Kwanini, yule sio mimi.Acha ukichaa
πππππ jfNashangaa wanalazimisha na kunizushia kuwa yule ni mimi.
Usicheke, yule sio mimi.πππππ jf
Aseee, sikuzungumzii wewe, hebu pita vileNashangaa wanalazimisha na kunizushia kuwa yule ni mimi.
Sipiti, Nitolee gubu lako hapa. Kwanini mnanizushia?ππππAseee, sikuzungumzii wewe, hebu pita vile
Mesenja Kwa Kiswahili tarishi....πΌSiri imefichukaππx 3
Masanja Kaleta balaa.. Masanja kaleta aibuu...π΅πΆπ
Acheni uzishi. Yule sio mimi.Mesenja Kwa Kiswahili tarishi.