Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Anayefanana naye au ndio huyo huyo mtu mmoja?

Tatizo ni kwamba they're politicizing the Militaries of this country. Very dangerous moment indeed.
 
for you information, ujasusi ndio unatakiwa uwe hivyo,

kila mtu anakazi yake, yupo anayepewa kazi ya kumpa siri mange
Sijakataa suala ni kwamba wanawa expose sana na wakati inabid iwe kimya kimya kama yule jamaa alielichomea Jiwe Mahindi na Mwingine akampa Jogoo 😂😂😂 yani ni mixer Orijino Komedi Swali Ushawaona KBG au CIA wanafanya huu ukanjanja kwetu ndo kuna bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…