Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Siyo yeye ni wamefanana kwa mbali, angalia macho yana distance tofauti kutoka pua to jicho.
 
Na mleta uzi naye ni miongoni mwao, huenda ndiye alimpanga zamu
 
Hi I huwezi kuwa komandoo ukauza na madafu?.
Naona katumia vizuri taaluma yake ya ukomandoo hadi kuweza kupenyeza biashara yake ya madafu ikulu.
 
Sio yeye mkuu
IMG_20240412_031812.jpg
 
Watu mnakumbukumbu..??

huwenda hata wewe mwandishi ni wale wale mnaokaa Ikulu
 
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.

Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.

Wapo waliohoji maigizo yale yalikua na haja gani,basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tungejiongeza
  1. Tukawaulize walimu wa NIT
  2. Tungeendelea kwenda kununua madafu
  3. Tungemtafuta hata ndugu yake mmoja au jirani yake mtaani
 
Back
Top Bottom