Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mm sio Niki
Hata huyo mwingine sura zinaonyesha sio wauza madafu for realKijana anaonekana ni mwenye ukakamavu wa Hali ya juu Sana.
Au Mimi macho yangu ndio mabovu Wakuu?
View attachment 2974806View attachment 2974808View attachment 2974809View attachment 2974810
Mbona ni jambo la kawaida tuu hiloo ??Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800
Captain Commando naona Begani ana ⭐️⭐️⭐️ hiki ndio cheo ya Muuza madafu wa ikulu?Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800
Hili la kununua hindi sidhani kama haliwezekani. Siyo rahisi muuza mahindi (hata kama ana nia mbaya) kujua kuwa rais atapita hapa leo na kununua hindi X kati ya mahindi mengi alionao.Umenikumbusha maigizo ya mchoma mahindi alipomuuzia Magu hindi la kucoma kule Dumila, naye akalila hadharani huku walinzi wake wakimtazama tu!!
Kama ni yeye 3 stars captain then full bawa na hio age yake basi jamaa yupo vizuri
UPSTAIRS
PHYSICAL
MEDANI
WHAT IF TUMEONYESHWA TENA ILI TUANZE KUMJADILI YEYE?
Hili la kununua hindi sidhani kama haliwezekani. Siyo rahisi muuza mahindi (hata kama ana nia mbaya) kujua kuwa rais atapita hapa leo na kununua hindi X kati ya mahindi mengi alionao.
Kwani mlitaka muuza madafu wa Ikulu atokee wapi?
Kwa hiyo pyeeeee hata kama ni mwanaume basi ni tata😂Nilitaka nami niulize ila nkasema hayanihusu maana,,ngoja niendelee na uzi wa deepond
Nawafahamu wengi walioko kwenye hiko kitengo, imesaidia system kuwa na updated taarifa kuliko zamani maana Boda Boda wengi hupata taarifa Kwa urahisi hata ukivusha demu usiku wa saa 8 wao hujuaHii ya boda boda nakubalii, kuna kitu nilinote kwa boda m1 hivi hapa mtaani, yaan kwa ufukunyuku wangu niliona sio boda wa kawaida kabisaa,
Limekaa kihasara hasara pyeeeee in pyeeeeee voiceKwa hiyo pyeeeee hata kama ni mwanaume basi ni tata😂