TAARIFA
Tarehe 26/04/2024 kupitia mitandao ya kijamii zilionekana picha za Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akifananishwa na muuza madafu aliywahi kuuza madafu ndani ya Ikulu wakati wa futari iliyoandaliwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Komredi, Mheshimiwa, Dokta, Mama rais Damia Suluhu Hassan.
Picha hizo zilizua taharuku kwa wanamchi wanyonge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kupelekea kutoelewa kama waiamini serioali yao au lah. Jeshi la Polisi linapenda kwanza kusikitishwa na picha hizi zikihusishwa na mtu mmoja, badala ya wawili tofauti. Pia Jeshi la Polisi linapenda kuwakumbusha wananchi wanyonge wa Jamhuri ya Muunganobwa Tanzania kwamba duniani ni wawili wawili.ppli
Jeshi la Polisi linamtaka aliyesambaza hizo mitandaoni akizisindikizia na habari kujisalimisha kituo chochote cha Polisi kilicho karibu naye ili Jeshi la Polisi liweze kumuelewesha kwa amani na upendo kama zilivyo tunu zetu.
Ahsanteni sana