Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Wewe nae kama lijinga utadhani humu ndani ccm ni peke yako..
Aliyekwambia ukiwa ccm lazima useme uongo ni nani..?

Acha kudhalilisha chama kwani ikiwa imejulikana kuwa ni yeye au siyo yeye inaathiri sipi za ziada kwa serikali na mifumo yake ya ulinzi.

Mwanume gani unakuwa na shobo za hovyohovyo hivi.
Namwambiaga huyu hasikii.Atakujibu sasa hivi
 
413CBP5Cd0S._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku ya leo ya kuazimisha miaka 60 ya Muungano ni watu wawili tofauti kabisa. Na hapa chini ndio vitu nilivyotizama kwa ukaribu na kuonesha siyo mtu mmoja.

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
We jamaa utakuwa una matatzo ya akili
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Sijui nikusanue ama nikuache hivyo hivyo
 
Shida ulipoingia tu CCM akili zikanyang'anywa sasa utawezaje kung'amua mambo rahisi kama haya?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Mnavyotumia nguvu kujitetea mngekuwa mnaleta maendeleo ingekua safi weka komando hapa weka muuza madafu pale wasalimiane au komando akanunue madafu kwa yule mwana muondoe ubishi vinginevyo acheni kelele
 
Back
Top Bottom