Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mbona umeenda mbali sana!!Commando hawana maajabu yeyote, mpiganaji wa MMA anaweza kumtandika vizuri tu commando tena akakimbia.
Sasa usizungumzie commando wetu ambao tunakutanana nao bar wanavuta sigara na kunywa pombe🤣😂🤣😂 ndio kituko kabisa.
Huwezi kabisa kulinganisha uwezo wa kupigana wa MMA fighter na mwanajeshi wa special forces.
Kwa ambao hawajui, wanaweza kubisha kwa sababu wameaminishwa kuwa commando ni species tofauti na sisi.
Lakini kwa wanaojua, MMA fighters ni habari nyingine kabisa.
In a street fight, hata raia tu wa kawaida asiye muoga anamchakaza kabisa commando.
Kinachowapa jeuri hao wanajeshi, ni silaha za moto tu.
Hand to hand combat ni habari nyingine kabisa yenye variables nyingi tu.