Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Ona sass, mshabadilisha uzi kuwa wa maneno magumu magumu.....

Acheni bana tuendelee kucheka, kufurahi na kuburudika na alfulela ulela za blangata za nchi yetu... πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Nyoda ake Mtufudenge....😁😁😁.
Ukaamua uandike hadi kihehe kabisa?πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†
 
Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambo eti ooh na yy anatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwalikoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Sasa Unyeti wa Idara Uko wapi?
Mpaka leo, bado una fikra za kizaman, kwamba hao watu wa Idara hawatakiwi kufahamika.

Tumechelewa sana, ilipaswa hata ajira zao ziwe zinatangazwa, watu waombe openly! kuna watu wanauwezo na nia thabiti ya kuitumikia idara, lakin kwa sababu hizi za kuficha ficha, Idara inakosa watu ambao ni very compitent na wenye wito.

Ulinzi wa Rais ni habari nyingine, na katika utekelezaji wake kuna mambo meengi, ikiwemo arts (sanaa). Hivyo mnavyosema ni igizo, yes hiyo ni sehem ya ulinzi na imefankiwa pakubwa.
 
au jamaa alipewa kitengo baada ya kuuza madafu matamu pale ikulu
Ndio ndani ya mwezi mmoja awe na nyota 3 na ukomando juu?!! Zoom picha yake uwanja wa Taifa akiwa anafanya show kwa mheshimiwa na halaiki
 
IMG_6848.jpg

Hawa ni watu wawili tofauti muuza madafu hata kiumri ni mdogo kwa Komando ingawa wamefanana
 
Ebu tuwe serious basi, upelelezi unaenda kufanyika kwa kujidisguise kama bodaboda sasa huko unapeleleza nn?

Embu tuwa update hawa majasusi wetu wa deal na mambo makubwa huku kwenye bodaboda kumekaa kisiasa zaidi.
Story nyingi za Mji husika huwa zinapatikana Kwa bodaboda as mgeni gani ameingia kwenye huo mji, amefikia Kwa Mzee gani ama nyumba ipi.

Anajihusisha na nini n.k

Kumbuka hao jamaa wanatakiwa kuripoti Kila tukio Kila Siku

Kwahiyo wakiwa wanachambua hizo taarifa ndipo ambapo hutenganishwa kusema hii taarifa si muhimu ile ni muhimu, so we have to dig deep on that


Ukipita kituo cha bodaboda unaweza kupata taarifa zote kuanzia za kisiasa/Kiuchumi ama kijamii

Nani anataka kugombea uenyekiti wa Kijiji/Udiwani ama Ubunge kwenye eneo lako.

Nani anajenga kituo cha mafuta hapo Kijijini/nani anajenga nyumba ya Kupangisha ya vyumba 20 kwenye eneo lako. Amepata wapi Mtaji wa kufanya hayo n.k isije kuwa anatumika kutakatisha fedha n.k

Kuna Kijana mgeni hawamtambui kwenye eneo lao ila anapenda sana sketi kwahiyo ili kumfahamu vizuri wanakuletea msichana wao(kutoka ofisini kwao) ili ajilengeshe kwako na achote taarifa zako kukuhusu hata kama itakuwa Kwa kukupa tunda
 
Captain kabsa ana uza madafu.. kumbe JW na TISS wako sambamba
 
Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambonatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwalikoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Sasa Unyeti wa Idara Uko wHuwa ni special forces tuu ndani ya jeshi (millitary special forces)

Suala la Ulinzi wa Nchi hii uko very complicated.

Miaka ya zamani ilikuwa wanatumiwa watu wenye kuonekana kama machizi Mtaani

Ikaja Kwa Walimu

Na sasa wamehamia kwenye Boda Boda na Wauza madafu hapo Mtaani kwako
inapaswa kuwa hivyo
 
Kama ni yeye 3 stars captain then full bawa na hio age yake basi jamaa yupo vizuri
UPSTAIRS
PHYSICAL
MEDANI

WHAT IF TUMEONYESHWA TENA ILI TUANZE KUMJADILI YEYE?
Mwamba yuko vizuri kwa muonekano wake kuwa captain na full bawa sio poa.
 
Back
Top Bottom