Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndio maana napenda kufanya vitu bila kukurupuka wala kufuata mkumbo.๐๐๐๐๐
Wazazi walikusomesha kwa gharama sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana napenda kufanya vitu bila kukurupuka wala kufuata mkumbo.๐๐๐๐๐
Wazazi walikusomesha kwa gharama sana
Ebu tuwe serious basi, upelelezi unaenda kufanyika kwa kujidisguise kama bodaboda sasa huko unapeleleza nn?Nawafahamu wengi walioko kwenye hiko kitengo, imesaidia system kuwa na updated taarifa kuliko zamani maana Boda Boda wengi hupata taarifa Kwa urahisi hata ukivusha demu usiku wa saa 8 wao hujua
Kama utakuwa threat unadhibitiwa
Hatujitetei bali tunaonyesha ukweli ili kuondoa uzushi na upotoshaji wa watu wanaofuata mkumbo.Mnavyotumia nguvu kujitetea mngekuwa mnaleta maendeleo ingekua safi weka komando hapa weka muuza madafu pale wasalimiane au komando akanunue madafu kwa yule mwana muondoe ubishi vinginevyo acheni kelele
Sasa hapa ndio umejibu nini?Wewe Chizi Maarifa alishasema unashobokea sana wanaume mpaka wanakuoa. Ungenyamaza tu mwishowe unadharaulika na huo ugay wako.
Ikulu haiwezi kutosha tukisema watu wote twende pale. Viwanja vya mpira tu vina kikomo cha idadi.sasa iweje leo hii tuende wote ikulu na kutosha.Wakati wewe unabweka hapa jukwaani wenzako wapo Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa.
Hivi wazazi wako wanajua kama unawafedhehesha humu mitandaoni ? Hata machawa wa enzi hizo mitandaoni kina Kimeta Wa Mpuhi hawakua hivi kabla ya uteuzi tuliza kipago wakati mwengine kama sio yeye kuna sababu gani yakutoa maelezo kibaoHatujitetei bali tunaonyesha ukweli ili kuondoa uzushi na upotoshaji wa watu wanaofuata mkumbo.
Hakika nimebubujikwaaaa๐๐๐๐๐Ndugu zangu Watanzania,
Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi
MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Huu ni uchunguzi Nifah.Haya ni maoni tena binafsi sio uchunguzi.
Acha kupanikiHivi wazazi wako wanajua kama unawafedhehesha humu mitandaoni ? Hata machawa wa enzi hizo mitandaoni kina Kimeta Wa Mpuhi hawakua hivi kabla ya uteuzi tuliza kipago wakati mwengine kama sio yeye kuna sababu gani yakutoa maelezo kibao
Kwa nini wasiwe wauza madafu wa kawaida tu?Hata kama akiwa sio yeye, ila mie bado siamini, kama wale ni wauza madafu wa kawaida, ๐๐คฃ
Wale ni vitengo tu.
Nakumbuka jiwe, kwenye kikao cha kahawa, sijui wapi, kuna rasta mmoja alikuwa akionekana kama raia wa kawaida, sasa unajiuliza inakuwaje huyu rasta alipo jiwe nae yupo ๐๐คฃ
Hao ni watu wawili tofauti kabisa!Nadhani wanafanana tu lakini si yeyeView attachment 2974935
Yaani stori za wabongo kuhusu hao watu wa so called kitengo, unaweza kudhani ni species nyingine kabisa iliyo tofauti na sisi mere mortals ๐.Ebu tuwe serious basi, upelelezi unaenda kufanyika kwa kujidisguise kama bodaboda sasa huko unapeleleza nn?
Embu tuwa update hawa majasusi wetu wa deal na mambo makubwa huku kwenye bodaboda kumekaa kisiasa zaidi.
Yaani hata wewe ulitegemea muuza madafu kama Mimi nijiendee Ikulu kumuuzia the First Citizen madafu? Kuna behind the scenes nyingi tu mnapaswa kujiongeza!Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800
Kitengo walisha jiingiza kwenye Sanaa za ccm. Hawanaga akili tena!Yaani stori za wabongo kuhusu hao watu wa so called kitengo, unaweza kudhani ni species nyingine kabisa iliyo tofauti na sisi mere mortals ๐.
Nakuambia ningekurudisha kwenu BurundiNchi sio msaada eti upewe, kwanini mmechagua kuwa wajinga na mnajivunia?
Amini unachoona ni sahihi, nami naamini ninachoona ni sahihi, easy tu mkuu.Kwa nini wasiwe wauza madafu wa kawaida tu?
Watu mnapenda sana conspiracy theories.
Kwani Rais wa Tanzania hawezi kujichanganya tu na raia wa kawaida?
Hao so called watu wa vitengo mnawa exalt sana.
Na mimi nimeangalia nimeona wapo tofauti sana hata ukaaji wa Pua na Nyusi pia!Mbona sie yule? Tazama mashavu
Siyo rahisi kiasi hicho rank ni captain isitoshe chuma kinasoma full bawa kama ndiye basi mtaalamu wa fani long time sanaau jamaa alipewa kitengo baada ya kuuza madafu matamu pale ikulu