MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Ni Commodore apewe mashavu yake, Tena special force
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wamemzowea mama J🤣Watakua wanakosea, Uzi hauna ubaya wowote
Hapa alikua kwenye tukio ganiii
Gagulo lime tatua uzi😜Kazi iendelee. Siri sio siri tena
Nchi ngumu Sana hii mkuu😊Captain kabisa
Sasa special force wetu wanafanyishwa ujinga wa namna hiyo. Inasikitisha.Ni Commodore apewe mashavu yake, Tena special force
Unaanzaje anzaje kuingia ikulu? Kama unataka kifo sogelea ikulu, ukishaona mtu yupo ikulu na karanga au madafu pigia mstari
Dah Niliwaambia mimi Yaan ukute hata Bwawa la umeme halijaanza kufanya kazi
😂😂😂😂We unaona mtu ni mfuasi wa Mange halafu unashangaa kusema "pyee"
Kwahiyo ni captain madafu huyo? Au basiCaptain kabisa
for you information, ujasusi ndio unatakiwa uwe hivyo,
kila mtu anakazi yake, yupo anayepewa kazi ya kumpa siri mange