mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
mwanzoni nilimsapoti ila nimegundua ana michepuko 3.... huyu jamaa mkoloni 😂Unaonyesha jinsi ulivyo mbinafsi!
Oohh Kibanda changu, hela yangu mara utamletea mzaramo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanzoni nilimsapoti ila nimegundua ana michepuko 3.... huyu jamaa mkoloni 😂Unaonyesha jinsi ulivyo mbinafsi!
Oohh Kibanda changu, hela yangu mara utamletea mzaramo
Ngoja jioni nitajibu comment zenu wote. Ila kiufupi mie nimekulia kwenye family mzee alikua na wake watano na wote aliwamanage vizuri sana hadi leo wanaheshimiana, na watoto tuko 13. Nitawajibu vizuri jionmwanzoni nilimsapoti ila nimegundua ana michepuko 3.... huyu jamaa mkoloni 😂
Yaani nimesoma uzi wake nilichogundua ni mmimi sana.mwanzoni nilimsapoti ila nimegundua ana michepuko 3.... huyu jamaa mkoloni [emoji23]
Michepuko yangu[emoji23][emoji23][emoji23]mwanzoni nilimsapoti ila nimegundua ana michepuko 3.... huyu jamaa mkoloni [emoji23]
mwache aendelee kuipopoa mdogomdogo.... 😂 raha jipe mwenyewe...Michepuko yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa.mwache aendelee kuipopoa mdogomdogo.... [emoji23] raha jipe mwenyewe...
Kweli mkuuMambo ya familia hayahitaji ubabe na hasira, kaa chini myamalize kama ni kosa la kwanza
Acha siasa ndugu.Yaani nimesoma uzi wake nilichogundua ni mmimi sana.
Deal zangu, biashara zangu, hela zangu, kibanda changu na nipo zangu.
Ni mtu wa zangu ili mtu aweze kuishi nae inabidi kumvumilia sana.
Exactly, yaani wewe umemaliza kabisa.Safi....
kuna wanawake wao wamejaaliwa kuwa wamama wa nyumbani tu kulea watoto, ila story za mashoga ndo wanapambishana eti wawe watafutaji, utafutaji wenyewe sasa utacheka ufe, kila kitu atahitaji kutoka kwako, mtaji umpe wewe, akipata loss atakupiga mzinga wewe ili akafidie loss aloisababisha yeye kwenye biashara yake mwenyewe.
Ukiwa mjanja ukamkwepa mizinga hakawii kwenda kukopa au vicoba, akikosa cha kurejesha hakubali kudhalilika hapo lazima uchapiwe ndugu ataitembeza hiyo mbunye mwenyewe mpaka apate marejesho, mwisho wa siku anakuwa concord akiona hiyo teknik inalipa.
Acha niendelee kuwa ndugu mtazamaji na upole wangu huu watanionea sana, japo hawajuagi upole ni kilo 1 ila hasira tani 1000 kwa hiyo staki kesi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Uzi wangu
Yaani kumwambia mtu ukweli ndio kutomuheshimu.Ni ngumu sana kumpenda mtu usiyemheshimu.
Kwa hii kauli yako we huyo mwanamke humheshimu.
Na ile kumwambia hutaki business partner ni same path.
Mahusiano yenu yanashikiliwa na utayari wa huyo mwanamke kuvumilia dharau zako. Wewe pia hutaki awe independent ili uzidi kumdharau.
Hii hapa ni possible scenario ya mahusiano yako na ya shemeji.Exactly, yaani wewe umemaliza kabisa.
Kuna wanawake wanajua business sikatai, ila kuna baadhi ni wa kukaa nyumbani tu, sasa hawa wa nyumbani kama mme wake ana kauwezo fln basi wanakua wanadanganywa sana na mashoga zao.
Hii cycle ya kufail biashara hadi kuliwa mbunye umeielezea vizuri sana
Castr njoo uchukue notes hapa