Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

Soma uzi vzr na comments
 
Unaonekana ni Mnyanyasaji wa hali ya juu

Hauna heshima kwa Mwanamke wako

Umejawa dharau na kiburi uko na full EGO

Hutopata Mke bora..unless otherwise upate zwazwa wako wa kumburuza atakaekubali kejeli zako na kuridhika na dharau zako
Sawa.
 
badala ya kumuacha mkeo afanye biashara asiwe tegemezi unakuwa mbabe
Maisha yanabadilika haraka sana Kuna leo na kesho haupo unafikir
Ataishije na watoto bila ya kipato
Hebu na hilo ukalitizame
Kuna watu sijui hamjui kusoma, hebu rudia tena kusoma uzi.

Huyu ka-run biashara ya saloon miezi saba bila kuonekana faida, na hapo hajakoma anachukua hela kwenye biashara zangu nyingine kisa wanamjua tu ni mama watoto wangu, na kibaya anachukua hataki mm nijue akidai atawarudishia, kibaya zaidi ameshindwa kurudisha na kusababisha hasara,

Sasa huyo mtu aina hio biashara gani anaweza kufanya asiwe tegemezi?
 
Mie mwanzo nilimkatalia kabisa khs swala la biashara sababu najua madhara yake, nna rafiki yangu ana lori za kusafirisha mazao, sasa hawa wanawake wanaojidaigi fighters kufanya hio business ni anawatomber kama nini, wengine wanakuja hadi bar tunakunywa kumbe ni mke wa mtu.

Lkn kwa kuwa biashara ya saloon wahusika ni wanawake nikaona nijaribu nae, ila ni upuuzi mtupu nilioona,
 
Vipo vichwa hatari sana havifundikishi, vinamiliki biashara na madeni tunalipa sisi tuone huruma, hahahaha
Yaan mtu biashara yake, loss anabook yeye, mikopo anachukua yeye, then wewe ndo unalipa. Afu unasikia watu kila siku wanamuimbia nyimbo mama bila kujua mateso mababa tunayopitia
 
Kuna msemo wanasema usichanganye mapenzi na biashara zamani nilijua wanaongelea michepuko kumbe hata mke hatakiwi kumchanganya na biashara
 
Kufeli kwa biashara aliyo anzisha sio kwamba hajui biashara tatizo unamkatia tamaa mapema mwanzishie biashara nyingine hapo home auze nyanya vitunguu mbogamboga kwa kuanzia huenda akajifunza na ikaenda sawa
 
Mwanaume ndio chanzo Cha kuwaharibu wanawake, pale alipowaaminisha kuwa mbususu zao Ni tamu!

Tuwaambie ukweli Sasa kuwa utamu anaopata mwanamume Ni kutoka ndani ya mkuyenge wake!

Utamu ule wanagugumia wanaume Ni internal sio external!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahahaa

Kwa hili napinga, kyuma zina utamu ndugu yangu, kyuma ni dawa hasa kwa marijali kama sie.

Ndo maana inabidi uwe na vyanzo vingi (michepuko)
 
Yaan mtu biashara yake, loss anabook yeye, mikopo anachukua yeye, then wewe ndo unalipa. Afu unasikia watu kila siku wanamuimbia nyimbo mama bila kujua mateso mababa tunayopitia
Ni mateso hasa, mfano unamkamua ng'ombe wako maziwa wanakuja watu wanakwambia tumekuja chukua dhamana ya mkopo mke wako amekopea., pembeni wapo na mwenyekit wa Kijiji na mgambo kadhaa,
Utafanyaje sasa unaamua uuze vimbuzi sita ulipe deni, baada ya wiki anakumbusha kuwa watoto wanataka ada.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] punguza kuangalia tamthilia chief.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, Mungu akubariki kwakuwa mpenda ukweli maana wanawake wengine wanafikiri ni gender inequality[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…