Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
ndio😎, inategmea na nani anakupa lakinhivi hela zinapewaga tu bila masharti?? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio😎, inategmea na nani anakupa lakinhivi hela zinapewaga tu bila masharti?? 😂
aisee.... 😂 unipe connection na mimi niwe napewa....ndio😎, inategmea na nani anakupa lakin
Sasa kumbe mnajua kuwa biashara siyo ya kila mtu sasa mbona wakikaa nyumbani mnasema hawana akili na mnawaita magolikipa na ombaombaExactly, yaani wewe umemaliza kabisa.
Kuna wanawake wanajua business sikatai, ila kuna baadhi ni wa kukaa nyumbani tu, sasa hawa wa nyumbani kama mme wake ana kauwezo fln basi wanakua wanadanganywa sana na mashoga zao.
Hii cycle ya kufail biashara hadi kuliwa mbunye umeielezea vizuri sana
Castr njoo uchukue notes hapa
Mwanamke mpuuzi na mpumbavu sio wa kumwendekezaMambo ya familia hayahitaji ubabe na hasira, kaa chini myamalize kama ni kosa la kwanza
Ulimuokota Ili alainike mikono ,ndorahayakoHahahahaaa
Mkuu ile mikono soft ina kazi yake maalum, sitaki kuiwekea sugu
silazima ashike ,jembe ,Hela ulimfungulia saluni ,Angelima vitunguu hekamojaHahahahaaa
Mkuu ile mikono soft ina kazi yake maalum, sitaki kuiwekea sugu
kasema ana michepuko 3 inachukua shift 24/7 😂Unaonekana ni Mnyanyasaji wa hali ya juu
Hauna heshima kwa Mwanamke wako
Umejawa dharau na kiburi uko na full EGO
Hutopata Mke bora..unless otherwise upate zwazwa wako wa kumburuza atakaekubali kejeli zako na kuridhika na dharau zako
Vipo vichwa hatari sana havifundikishi, vinamiliki biashara na madeni tunalipa sisi tuone huruma, hahahahaKaka watu wengi tunachanganya kua wakweli na kua inconsiderate. Kukiwa na mapenzi na heshima ukweli kwa wenza wetu hua ni kwaajili ya kuwajenga ila heshima ikipungua ukweli wetu hua tunautoa kwenye inconsiderate manner.
Mfano wewe umesema ni business professional kwa miaka 9 na unaweza jua mtu mwenye uwezo na asiye nao, je hiyo miaka 9 haijakupa uwezo wa kumlea mtu na kumvuta kutokea alipo na kuja juu?
Kama ungekua unamheshimu shemeji na mapenzi yapo ukweli kwake ungeupeleka katika namna ya kumjenga. Kuanzia hiyo siku ulivyoona kajibu kitu siyo sahihi, ungempa plan, ukampa objectives na jinsi ya kuzifikia. Mimi ninachojua biashara mpya at times itahitaji external continuous investment in terms of cash kwakua inaweza isizalishe unavyotarajia.
Wewe kama pro hili ulitakiwa ulione na uone shemeji alikwamia hapa. Lakini haya yote huyaoni kwakua unamdharau huyo dada, katika michepuko yako 3 uliyoisema kuna mmoja hata angechoma mtaji wote ungemuweka chini kumuuliza kwa utaratibu na kumuonyesha njia.
Ndoa haihitaji demokrasiaMambo ya familia hayahitaji ubabe na hasira, kaa chini myamalize kama ni kosa la kwanza
we haya....😅😅😅aisee.... 😂 unipe connection na mimi niwe napewa....
nini sasa si unanisaidia rafiki yangu 😂we haya....😅😅😅
Ooh basi usitafute mchawi tatizo lipo hapo hata akija mwanamke mwingine bado tatizo litakuwepo tu kutokana na kutoka kwenye familia ya polygamyNgoja jioni nitajibu comment zenu wote. Ila kiufupi mie nimekulia kwenye family mzee alikua na wake watano na wote aliwamanage vizuri sana hadi leo wanaheshimiana, na watoto tuko 13. Nitawajibu vizuri jion
njia za kupata hela ziko nyingi sana shida ukiuwazia ufalme wa mbinguni 🤣🤣nini sasa si unanisaidia rafiki yangu 😂
umeanza kunitisha aisee 😂 unazungumzia vimbola au....njia za kupata hela ziko nyingi sana shida ukiuwazia ufalme wa mbinguni 🤣🤣