Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Wakuu habari,
Ijumaa iliyopita nilikuwa nimejichokea zangu kutokana na hekaheka za hapa mjini za kujitafutia mlo wa kila siku.
Nikapata wazo, ili nikae sawa inabidi nitafute sehemu ya kwenda kupumzika nje ya mji.
Ikabidi nichague mkoa mmoja ambapo mama mtoto wangu mmoja anaishi huko.
Nikamjulisha baharia nakuja kushangaa mazingira ya huko mimi ni mgeni wako.
Akafurahi sana, nami nikajiandaa nikaondoka.
Baada ya kufika kule, nikatafuta sehemu ya kufikia,nikapiga maji ili kutoa uchovu,nikaanza mazoezi ya kutembea mtaa kwa mtaa ili nizoee mji.
Baada ya muda nikarudi nilipofikia, nikingojea mwenyeji wangu aje anipe kampani.
Alipofika tu, kwa uzuri alionao nilianza kuchanganikiwa; nikajikuta siwezi kuongea tena zaidi ya matendo kutendeka tu.
Tulipiga shoo ya kibabe sio mchezo, huku akiwa anapiga kelele, ''equation x sikuachi niongezee watoto wengine''.
Baada ya pale, usiku tukaingia kiwanja cha kusikiliza mziki mlaini huku tukipiga maji yetu ya dhahabu.
Kwa kweli, wikiendi yangu ilienda vizuri sana.
Kwa namna alivyonipeti peti kama mtoto mdogo, huyu mwanamke simuachi; kwa sababu, wanaume wengi tunakufa haraka kwa sababu tunakosa watu sahihi wakutupetipeti.