Huyu mwanamke anatakiwa aondoke kwa namna yoyote ile

uhuruborn

Senior Member
Joined
Sep 6, 2025
Posts
130
Reaction score
453
Your browser is not able to display this video.


Tumekuwa na Taifa ambalo lina support matendo ya kishetani kama haya chini ya huyu mwanamke. Kama (mashoga wanafanya annual conference yao)

Serikali kupitia Polisi, TISS mambo ya kishetani kama haya hawayahoni ila CHADEMA wakifanya mtukano unazuiwa kwa sababu ya intelijensia yao imewaambia kuna vurugu zitatokea
 

Attachments

  • VID-20261101-WA0014.mp4
    32.2 MB
Mtakatifu wenu Magufuli alipigwa na come back hii akamtuma Kabudi kuwapooza mabeberu.

Huyo Mama sasa hata mkishindwa kuwakoresha wake zenu kwa stress za maisha mtamsingizia yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…