Huyu Mwanamke ni mfano wa kuigwa na wadangaji

Mkuu Tuendelee Na Story Achana Na Hao Wajuaji
 
Nimekumbuka Ile tamthilia ya ISIDINGO "THE NEED"

Tuweni na subra wadau maana subra ya vita kheri.
 
Kuwa serious basi wengine hatutoki hapa Hadi umalizie hiki kisa!!
 
Kijana unakasirika ukiambiwa chai kwani hiyo siku tulikua wote ukimhudumia huyo dada mpaka kila mtu utake akuamini??

We leta story, hao wanaosema chai chai hiyo ni kawaida, kama hujui jf ni sehemu watu hutolea stress, kuna watu akimkera mtu basi ndo yeye hufurahi, na wewe ulivyo na roho nyepesi chap tu washakubeba.
 
CHAJ CHAI CHAI CHAI CHAI
GAHAWA GAHAWA GAHAWA
KASHATA KASHATA KASHATA
TANGAWIZI TANGAWIZI TANGAWIZI
 
Chai.
 
Tuendeleee.....................

Nikakaa na yule mwanamke kwenye kile ki sofa nikaanza kumdadisi. Kwanza kabla sijaanza maswali yangu akasema anaenda police kushitaki, nikamuliza shida nini akanambia kuna kesi mbili.

Kesi ya kwanza kuna mtu alimpa kiasi cha laki na nusu kama mkopo yani huyu dada alimpa mtu wa hapo kijijini kwao maana anatokea vijijini huko milimani toka mwaka 2022 mpka leo hajamlipa sasa unajua watu wa hivi wakikukoposha pesa hata kama ni ndogo kazi utaipata huwa hawakati tamaa kirahisi kwenye kutafuta haki zao.

Kesi ya pili akanambia kuna nyumba yake anaijenga ameshajenga chumba kimoja ndo anacholala yeye na wanae wa kiume wawili.
Sasa alikuwa na mpango wa kuongeza chumba cha pili. Katika huo mpango ilimbidi amtafute mtu wa guta ili aje ambebee mchanga apeleke site.
Yule mjinga wa guta kapewa pesa sa trip mbili kasepa mazima ndo ikabidi aende kuripot police apewe na RB ili jamaa akamatwe. Akatoa pale makarataai yake ya reference ameyafunga kwenye mifuko ya nylon kama yote anadai hataki yachafuke wala mvua iliyafikie.

Basi nikamplease pale kumcomfort kwasababu ya hali yake Ile mimba kabakiza kama mwezi mmoja ajifungue.
Nikaanza kumuliza anakoishi akanambia, nikamuliza kuhusu baba wa watoto na Ile mimba akanambia wote walimkataa baada ya kumpa ujauzito.

Nikamuliza kwanini wanamkimbia akanijibu kwamba anashida ya kifafa akafunua mdomo kwenye lip ya chini kwa ndani kaumia akasema kaanguka siku si nyingi zimepita. Kwahiyo wanaume wanakuwa wanamkimbia kwasababu ya hilo tatizo japo pia mimi nikajiongeza kimoyomoyo kwamba shida ni wenge alokuwa nalo japo anaongea vzr tu na anamawazo ya kiutu uzima japo muda mwingine anachanganya maneno katika upangiliaji ila anajitahid katika communication na social interaction yupo vizuri.

Nikamuliza kuhusu ujauzito akanambia alimpigia cm mwanaume mwenye ule ujauzito akamkataa akamwambia akatafute baba wa huo ujauzito yeye hahusiki this statement kidogo initoe machozi kweli sisi wanaume TUNAZINGUA yani unamlala mwanamke then badae unakataa matunda wakat kipindi unamla ulikuwa unajua kabisa possible outcomes.

Nikamuliza ni vipi anaendesha maisha yake labda kama anamsaada wowote unaomuwezesha yeye kuihudumia familia yake na yeye mwenyewe akanijibu hakuna zaidi ya pesa za tassaf ambazo nazo mara zije mara zisije.

Nikamuliza ni kitu gani sasa kinakufanya uweze kujikimu katika maisha yako akanambia anafanya biashara na anapesa kama million moja na laki saba bank watu walimshauri afungue account ili akiwa anapata pesa kutoka katika biashara zake basi aweke bank, hapa alidai kwamba hapo mwanzo walikuwa wanamuibia pesa zake akitoka katika biashara zake akizifikiaha nyumbani watu wanaingia wanaiba huko vijijini including her relativea wenye akili timamu kabisa wanaingia wakati yeye hayupo na wanaiba pesa zake.

Tutaendele I am a bit busy...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…