Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Lete Mambo production
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HujaulizwaMjianike humu ili kuwafurahisha watu ambao hawakuingizii chochote kwenye maisha yako?? 😹😹
Humu kuna raia wana stress, depression na wengine wanalog in wakiwa bar wanalewa.!!
Hata ulete kitu gani km uthibitisho watakupinga tyuu.!!
Ww endeleza chai yako usisome comments mpk iishe.
Usikute wewe ndio baba kijacho uliyekura konaOle wako kwenye kuleta picha ya huyo binti kutuaminisha hii story, binti umuanike halafu wewe ujifiche.
Ukimuanika binti jianike na wewe, na huyo binti uwe ushamuuliza kama anataka picha yake uitumie kuaminisha watu jf au hataki, jali utu.
Huwezi kuaminiwa na kila mtu, jitahidi kucontrol hisia zako bw.mdogo.
Vyovyote iwavyo sio busara kumuanika mtu kwa manufaa yake binafsi.Usikute wewe ndio baba kijacho uliyekura kona
Hivi Said Mtanda anachomoka vipi? Hata kama siyo legally lakini legitimacy ya kuwa kiongozi wa umma hanaNawanda au aisee basi wahurumieni mana akija yule ni kubomoa tu vijambio mwanzo mwisho