Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

Bro huna 💰 mapenzi ya nini na ninataka akatombwe njee kabisa na wanaume wenye hela zao kwann hujujipanga Sana au ulidhani wanawake wa sasaivi ni wale wa tuchume wote Hooo umeyakoroga yanywe


IWE fundisho kwa vijana uoeni mmkiwa na 💰 lasivyo subiria dharau,masimango,kutombewa

KomAAAAAA
 
Hii ni ishu binafsi sana sana, hadi nashangaa, ni ya familia sana, halafu kitoto chenyewe kimoja napiga makofi na mangumi nafukuzia mbali kibwengo wa aina hio
 
Ingekuwa zamani kabla sijajua kujitegemea na kutafuta pesa mwenyewe ningekushangaa mkuu unamwachiaje mke wako 30000 kwa week hata kama ndani kuna kila kitu.
Ila kama ndani kuna sukari,mchele, unga, gesi, mafuta, chumvi mbona week hela inatosha sana.

Tatizo wanawake tunapenda kujifanya tunataka maisha ya juu wakati ni tegemezi.
Mimi binafsi 30000 inanitosha kwa week familia ya watu wawili, lakini pia kuna siku mpaka 50000 au zaidi inakatika ndani ya siku moja.

Tujifunze kuishi ndani ya vipato vyetu na kuappriciate kidogo unachopata/ unachopewa hujui mume wako anapitia nini ili tuu kupata kidogo anachokupa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said
 
Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Kwanza pole kwa mkasa uliokukumba ndugu Abdul Mganyizi huenda kuna tatizo lingine zaidi ya hili ndani ya familia yako au huyo mkeo ameanza tabia ya unywaji wa pombe kimya kimya kama si hivyo basi atakua Amechoshwa na baadhi ya tabia zako za ubaba mwingi hadi kufanya manunuzi ya mahitaji ya ndani wewe mwenyewe pasipo kushirikiana..

Ushauri:
Ulipaswa kumpatia pesa ambayo unaona ingelitosheleza mahitaji yote kwa ujumla ili aende kununua hayo mahitaji yeye mwenyewe kwa sababu ninavyofahamu hawa wanawake huwa na taratibu zao nyingi tu katika matumizi lkn kama umempatia kiasi ambacho hata yeye aliona kinatosha asingepiga simu kudai nyongeza wala usingeli kumbwa na balaa zito lenye kejeli kama hizo na gadhabu za namna hiyo..
 
Shida ni kwamba watu wengi tunataka tuishi maisha yasiyo yetu ,,kama kila kitu kipo ndani,,mbona 30 kubwa sana ,kama huwezi kusave kidogo hata kikubwa utakimaliza...
 
Aisee kuwa tegemezi tabu sana. Nikajua laki 3 kumbe elfu 30 yaani elfu 10 ziwe tatu. Pole yake huyo mkeo
 
Maneno aliyoyatoa ni magumu na hayajengi, ila bajeti ya elfu 30/7 ni mtihani kwa maisha ya familia ya watu watatu.
 
 
Kipato cha laki tano sio kidogo mzee mwenzangu. Cha kufanya hapo hangaika juu chini umfungulie hata genge la milion mbili huyo mwanamke muongeze kipato. Japokuwa alipaswa kutumia lugha nzuri kukwambia lakini 30 kwa wiki ni pesa ndogo.
 
Mwanaume dhaifu wew acha upumbavu, anyway kuna uzi wenu humu watu wa aina yako[emoji116]

Fukuza huyo fisi atakuharibia maisha kama sio kukuua basi atakufanya chizi ama msukule kisha arithi mali zako ama akutege limbwata, na uwakika hata huyo mtoto sio wako prove me wrong[emoji23].

Chukua muda na usome hiyo thread utajifunza mambo
 
Sitaki nidhani, ila inaonekana mwenzio hajui kipato chako. Kama anakipata basi kuna jambo tena kubwa analotafutia sababu. Kwani baba yake angemuachia bei gani?
 
Mtie vitasa huyo anazarau za kijinga kila kitu kipo ndani na bado haridhiki na elfu 30?
 
Trust me mzee wangu, kuna mwamba tayari kaingilia himaya yako... anamuhonga mkeo hela ya maana inayomvuruga mkeo akili na kuona kwamba huyo ndo mwanaume.... Ndo mkome mkiambiwa msioe.
Hata kwenye ndoto, kataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…