Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

ndomana sitaki kuendelea kaa nae.
Pilipili ndo zitamfukuza mkuu?au zitampa kichaa?

Mimba atabeba vipi ikiwa sina mpango nae?iko hvi bado sijanasa kwenye mtego wake wa mimba.

Pengine huujui moshi wa pilipili hata mende na wadudu wengineo watahama humo ndani sembese huyo unaemlea kama yai na bado hajakunyoisha ipaswavyo

Yeye ndo anamua maisha yenu sio wewe!
 
Nyumbani kwako mtu anakupangia uishi na nani?
Unashindwa kumuondoa mtu ndani kwako kweli jombaa?
Subiri akutegeshee na mimba ndiyo utajua hujui, utengeneze malezi mabovu kwa watoto wako.
 
Hii chai bila kitafunwa utaungua mdomo.
 
Ukiwa mwanaume utajua ni nini cha kufanya ila inshort usipo muwahi hakika utawahiwa na majuto yake yatakua makubwa sana.

Kama unashindwa kumfukuza kistaarabu jitahidi umfukuze kwa shari yani hapo alipozidisha hela kinyume na aliyoiomba ndiyo ilikua mwisho wake sasa ona unavyoteseka sahivi.
 
Ewaa lamomy....
Kuweni na huruma basi kama ni funzo nishalipata itisheni kikao cha ghafla mwambieni inatosha nimenyooka mimi na wenzangu kama mm hatutopalamia tena
Bado kidogo yaani naomba asiondoke kabisa akae hapo hapo na hela umpee
 
Mkuu mbona kama unasaliti timu yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mbinu za medani hizi πŸ˜‚
 
Kama ni Dodoma nitakuelekeza pale Chaduru hamia naye kwenye zile nyumba za udongo buku 30 kwa mwezi halafu msikilizie...akitoa ,macho mwambie umeshafilisika....kama hataki kuhamia humo mpangie gesti then nawewe chomoka ukapange kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…