Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyo ndo chaguo lake.Ndo maana yake...na Wewe unaona uzito kumshauri huyu mwenzetu 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndo chaguo lake.Ndo maana yake...na Wewe unaona uzito kumshauri huyu mwenzetu 🤣🤣
Hahaha kapatwa yeye sasa 🤣🤣, Mimi nisipokukubali hata muda wangu sikupi asee....Jamaa alitakiwa a apply HIT & RUN tatizo jamaa Ni good behave SANA
Kuna mshikaji wangu enzi za ujana jamaa katili jamaa anachakata Mara mbili au tatu anamwambia demu TUSIJUANE.. Msela wangu katili Sana Ila ndio ametangaza ndoa anaoa mwezi HUU
Same same,Wakuu habari za muda na wakati kama huu.
Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.
Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.
Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company
Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.
Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.
Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.
Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.
Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.
Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.
Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.
Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.
Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.
Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.
Nisaidieni natokaje hapa.
Kuna,Hahaha kapatwa yeye sasa 🤣🤣, Mimi nisipokukubali hata muda wangu sikupi asee....
😂😂😂Hii ilitaka kunikuta, nimechukua namba dada kumbe anasali kwa mwamposa huko kashaambiwa atakaetaka namba ndio mumeo. Siku ya pili anafosi aje kwangu, nikamuelekeza akachukua bajaji akaja mpaka sehemu nilipokuwa mbali kidogo na kwangu. Katika stori nikamwambia pale napokaa kuna dada ananisaidia kupika nampa mahitaji kwa hiyo ukimkuta kwangu usistuke maana huwa namuachia funguo aniwekee msosi kabisa ila anapenda movie so tunaweza kumkuta kwangu kajiachia, dada akasema sasa nikifika kwako si atanichukia maana utawala wake wa kukupikia utakuwa umeisha nimeuchukua mimi, nikasema thubutuuu, nikatafuta sababu akarudi alipotoka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka eh!Jini hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ndio mkome kuparamia paramia watu ovyo[emoji1787].
Ukute alikesha sana kwenye maombi mixer waganga wa kienyeji kuomba mume. Sasa mume umejipeleka mwenyewe unatarajia akuache.
Mtaani kugumu ndugu. Ukute hiyo supermarket uliyomkuta alikuwa kwenye mingo ya kufuatilia majibu ya sala zake. Mara kidume ukajitokeza na shobo zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na ukitaka kuisoma namba hasa jitusue umpe mimba.
🤣🤣🤣Hata ningekuwa Mimi ningejua nimejiokotea mumeAcha tu akung'ang'anie yaani we siku ya kwanza tu ukamwachia na ufunguo, ni tafsiri gani ulimpa?
huyu hana sifa za kuwa wife material mkuu.....Oa kaka iyo ndio hatima yako uyo mwanamke ndio anakufaa usiangalie mabaya tu mzee unaweza kumwacha uyo ukapalamia mkalatusi ukizani utapata maembe...tulia fikiria jinsi ya kuishi nae ....anakukubali wengine watakufyonza vibaya.....unafoka ivo kwasababu umemjua kama wewe mbishi tafuta mpya usiyemjua uone moto
funzadume ungesoma vizuri ungenielewa tu.Kuna sehemu umesema baby mama wako unakutana nae kwenye chumba cha mshikaji? hapo ndio nimegundua story yako haina uhalisia. Sorry for wasting my time on it
Miss Gf,Joannah,Evelyn salt na yule mwngne hii team Mungu anawaonaJamani huyu dada apewe uenyekiti kabisaaa kikao Kijacho!nimependa sana na atamuoa lazima atake asitake
Weee kama kwako natokaje kirahisi kwa mfano! Weeeeh Sitokiiii🤸🕺
Missy Gf ,Evelyn Salt na yule mwingine lazima ni Lamomy mnaitwaMiss Gf,Joannah,Evelyn salt na yule mwngne hii team Mungu anawaona
Tumefanyaje tena jamani 🤣🤣🤣🤣
ndomana sitaki kuendelea kaa nae.Huu uongo angalia watu wa kuwaeleza!
Yaani mtu humtaki bado uendelee kukaa nae, kisa?
Nunua zile pilipipi ndefu nyekundu tiii au zile kichaa zilizokauka chomea ndani akitoka tu weka kufuli kaishi kwa mshikaji hata mwezi then usiku 1 hamisha vyombo vyote nenda kaishi kwingine
Kama ana nia njema na wewe kwa nn habebi mimba
Nyoko zako kenge wewe!
Ewaa lamomy....Tumefanyaje tena jamani 🤣🤣🤣🤣