Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

Alipoharibu ni hiyo kuwa mtata, ubishi, kuforce kusoma sms, kugombana na wewe, kutumia pesa bila ridhaa yako na kuwa mjeuri, nje ya hapo ningemtetea kwakweli.
Ushaambiwa demu MMERU unategemea nini? Antenna hamna humo
 
Dawa yake ni hii HAPA.
.chukua masela kama watano hivi kisha uwapange.
Waambie hivi;
Tukifika nyumbani vueni nguo zote kisha kila mmoja atafute SEHEMU ya kulala.

Masela wakifika wavue nguo kila mtu na sehemu yake,
Chumbani ajilaze huku mjegeje ukiwa wazi
Sebuleni alale huku mjegeje ukiwa wazi
Kwenye korido alale mwingine huku mjegeje ukiwa wazi
Huyo manzi asipokumbia njoo unitie mabao
 
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.

Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.

Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.

Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.

Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company

Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.

Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.

Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.

Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.

Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.

Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.

Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.

Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.

Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.

Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.

Nisaidieni natokaje hapa.

"Kulala tu sio big deal sana"

Shida ilianzia hapaz usilete mwanamke usiyemfaham kwako, utalogwa.
 
Kwamba hadi sasahivi hujashtuka kwamba hiyo laki kadhaa kaenda kukulogea? 😁 Haya bana nasubiri part two.
 
Oa kaka iyo ndio hatima yako uyo mwanamke ndio anakufaa usiangalie mabaya tu mzee unaweza kumwacha uyo ukapalamia mkalatusi ukizani utapata maembe...tulia fikiria jinsi ya kuishi nae ....anakukubali wengine watakufyonza vibaya.....unafoka ivo kwasababu umemjua kama wewe mbishi tafuta mpya usiyemjua uone moto
 
Kwa ulivyo elezea naona kwakifupi huyo mwanamke hakufai na atakusumbua sana mkuu.
Jambo la pili naona kama wewe ni aina ya vijana wenye malengo na misimamo lakini madomo zege na wenye hofu ya kutongoza lakini wapenda nyabe.
Kama vipi tafuta nyumba nyingine kimya kimya, then fanya namna huyo mwanamke asafiri hata kwenda kwao/ama aende sehem siku nzima then akitoka tu.... hama chap na kisha umuachie vitu vyake tu humo ndani.
Usipo fanya hivyo naona kabisa unaenda kuandaliwa mimba chap na ndipo utakua umepigwa lock na kwa muandiko wako ndio naona hautoweza kujichomoa kabisaaaa alafu utaanza mawazo ya kujiua.
Sasa mkuu angekua domo zege asingemtongoza .. kwaiyo yeye sio domo zege
 
Zamani nilikua nalitumia geto kufanya maangamizi, ila kwa hali ilivyo sasa sio vizuri kufanyia maangamizi kwako bora hata uende guest.

Wanawake wanataka ndoa kimabavu ilhali ujana wao hatukua wote, binti akiona kama umejipata kwa vile aonavyo yeye basi ndo kama ivo anatafuta kinamna akuteke uoe kimasikhara.

Pole sana, ila mbali na hivyo we jamaa no legelege sana, unapigwa kofi na mkeo unakuja kulalamika huku.

Si ajabu hamjuani kiundani familia zenu, siku akikufia hapo geto ndo utajua dunia haizunguki ila jua ndo linaizunguka dunia.
 
Umri umeeenda wameanza kuwa king'ang'anizi hapo kashaenda hata kwa waganga kabisa kaona una kazi maisha yanaenda.. pole sana upo wapi Tuje kusaidia kumuondoa uyo
 
Ushaambiwa demu MMERU unategemea nini? Antenna hamna humo
Heeeh[emoji848] ni m'meru tena? [emoji848]Mbona sijaona hiyo title mzee?

Kama ni hilo sasa hapo mzee balaa analo ameyakanyaga.
 
Dawa yake ni hii HAPA.
.chukua masela kama watano hivi kisha uwapange.
Waambie hivi;
Tukifika nyumbani vueni nguo zote kisha kila mmoja atafute SEHEMU ya kulala.

Masela wakifika wavue nguo kila mtu na sehemu yake,
Chumbani ajilaze huku mjegeje ukiwa wazi
Sebuleni alale huku mjegeje ukiwa wazi
Kwenye korido alale mwingine huku mjegeje ukiwa wazi
Huyo manzi asipokumbia njoo unitie mabao
Unaweza shangaa demu akajua huo ni mualiko wa mtungo akawapelekea wote moto kama wanaigiza X vile. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jini hilo🤣🤣🤣🤣.

Ndio mkome kuparamia paramia watu ovyo🤣.

Ukute alikesha sana kwenye maombi mixer waganga wa kienyeji kuomba mume. Sasa mume umejipeleka mwenyewe unatarajia akuache.

Mtaani kugumu ndugu. Ukute hiyo supermarket uliyomkuta alikuwa kwenye mingo ya kufuatilia majibu ya sala zake. Mara kidume ukajitokeza na shobo zako🤣🤣🤣.

Na ukitaka kuisoma namba hasa jitusue umpe mimba.
Yaan akimpa mimba tuu atamkuta Kesha enda kujitambulisha Kwa wazazi
 
Niko serious mkuu me ni mvivu sana kuandika yanini nitumie nguvu kubwa niumize macho kuandika kitu ambacho hakipo.

Ila nashukuru umenipa idea kubwa sana nimepata plan B. Ngja nisubr plan A
Fanyia kazi hapo ni kuhama tuu kimya kimya ...mpe hata pesa akasuke akiondoka tuu hama na chumba Cha watu rudisha
 
Dawa yake ni hii HAPA.
.chukua masela kama watano hivi kisha uwapange.
Waambie hivi;
Tukifika nyumbani vueni nguo zote kisha kila mmoja atafute SEHEMU ya kulala.

Masela wakifika wavue nguo kila mtu na sehemu yake,
Chumbani ajilaze huku mjegeje ukiwa wazi
Sebuleni alale huku mjegeje ukiwa wazi
Kwenye korido alale mwingine huku mjegeje ukiwa wazi
Huyo manzi asipokumbia njoo unitie mabao
Mademu wanapenda mijegeje kuliko ulivyowahi kufikiria, na siku hizi wana uhuru kabisa wa kuchagua iliyoshiba wanaita tango..... jichanganye tu ukute akawahimili wote na masela zako.
 
Back
Top Bottom