Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

Kwa ulivyo elezea naona kwakifupi huyo mwanamke hakufai na atakusumbua sana mkuu.
Jambo la pili naona kama wewe ni aina ya vijana wenye malengo na misimamo lakini madomo zege na wenye hofu ya kutongoza lakini wapenda nyabe.
Kama vipi tafuta nyumba nyingine kimya kimya, then fanya namna huyo mwanamke asafiri hata kwenda kwao/ama aende sehem siku nzima then akitoka tu.... hama chap na kisha umuachie vitu vyake tu humo ndani.
Usipo fanya hivyo naona kabisa unaenda kuandaliwa mimba chap na ndipo utakua umepigwa lock na kwa muandiko wako ndio naona hautoweza kujichomoa kabisaaaa alafu utaanza mawazo ya kujiua.
Kwanini umvizie hayupo? Hata akiwwpo kama tayari ushamwambia suala la kuondoka na yeye hataki unaleta tu gari unabeba vitu vyako unatokomea unapopajua mwenyewe
 
Panga siku umtume mbali, akirudi akute nguo zake tu, we ulishahama kitambo

Vinginevyo jiandae kumwagiwa tindikali
Mume, amka zako kama unaenda job beba nguo....tokomea huko muache abaki anadate mwenyewe.

Kwa ulivyo elezea naona kwakifupi huyo mwanamke hakufai na atakusumbua sana mkuu.
Jambo la pili naona kama wewe ni aina ya vijana wenye malengo na misimamo lakini madomo zege na wenye hofu ya kutongoza lakini wapenda nyabe.
Kama vipi tafuta nyumba nyingine kimya kimya, then fanya namna huyo mwanamke asafiri hata kwenda kwao/ama aende sehem siku nzima then akitoka tu.... hama chap na kisha umuachie vitu vyake tu humo ndani.
Usipo fanya hivyo naona kabisa unaenda kuandaliwa mimba chap na ndipo utakua umepigwa lock na kwa muandiko wako ndio naona hautoweza kujichomoa kabisaaaa alafu utaanza mawazo ya kujiua.
Mtoa mada suluhisho ushapewa, ushindwe wewe tu.
 
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.

Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.

Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.

Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.

Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company

Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.

Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.

Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.

Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.

Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.

Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.

Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.

Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.

Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.

Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.

Nisaidieni natokaje hapa.
anakumudu kaona, mm kwangu angeondoka.
Tafuta hela, mpe idea ya biashara hata ya viatu, mwambie akachukue mzigo kariakoo. Akiondoka tafuta chumba kingine hamishia vitu kisha funga uskikae hapo ulipohamishia. Fanya mchakato kazini kwako omba likizo, ukisha chukua likizo usiende kwenu tafuta mkoa mwingine jichimbie huko, mlime block kila mahali!

Ndani ya week 3 atakuwa ashaelewa somo, ukirejea anzia kuishi kwa rafiki ilo asije gundua unapoishi akajileta kukusumbua. Done
 
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.

Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.

Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.

Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.

Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company

Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.

Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.

Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.

Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.

Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.

Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.

Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.

Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.

Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.

Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.

Nisaidieni natokaje hapa.
😄😄 Mdau inawezekana umelogwa ww sio bure ......
 
🤔🤔 ngoja kwanza ili lipite then tajua cha kufanya.km kunisalimia tu agrrh tutakutana ata selena hotel inatosha.

Maana nimegundua kumbe huwa mnavikao vyenu,kuna madini mnapeana uko mnakuja kuapply upande wetu.
Jichanganye mkuu hata Serena hotel sio pa kukutana nae.
Huyo ni DADA YE lamomy bro.Tume zote za vikao anaunda yeye.

Kwako ndo itakua comfotabo hebu limalize hilo kwanza
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Kaka yetu ameishaaa!
 
Maisha magumu mkuu,hapo kaona anapata maokoto aende wapi tena!

%Mapenzi ni upofu%
 
Kwanini umvizie hayupo? Hata akiwwpo kama tayari ushamwambia suala la kuondoka na yeye hataki unaleta tu gari unabeba vitu vyako unatokomea unapopajua mwenyewe
Kuna namna ya kumshauri kila kijana kutokana na namna unavyo msoma.
Huo ujasiri kama wangu mimi mdaka chozi hana...😜
 
Jichanganye mkuu hata Serena hotel sio pa kukutana nae.
Huyo ni DADA YE lamomy bro.Tume zote za vikao anaunda yeye.

🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Kaka yetu ameishaaa!
Bora umenishtua mapema kaka.kumbe huyu ndo mwenyekt wa bodi.
 
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.

Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.

Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.

Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.

Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company

Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.

Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.

Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.

Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.

Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.

Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.

Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.

Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.

Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.

Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.

Nisaidieni natokaje hapa.
We Kumbe hujawa Mkurungwa
 
A

Alaah okay🫖🫕🫕
 
Hii ilitaka kunikuta, nimechukua namba dada kumbe anasali kwa mwamposa huko kashaambiwa atakaetaka namba ndio mumeo. Siku ya pili anafosi aje kwangu, nikamuelekeza akachukua bajaji akaja mpaka sehemu nilipokuwa mbali kidogo na kwangu. Katika stori nikamwambia pale napokaa kuna dada ananisaidia kupika nampa mahitaji kwa hiyo ukimkuta kwangu usistuke maana huwa namuachia funguo aniwekee msosi kabisa ila anapenda movie so tunaweza kumkuta kwangu kajiachia, dada akasema sasa nikifika kwako si atanichukia maana utawala wake wa kukupikia utakuwa umeisha nimeuchukua mimi, nikasema thubutuuu, nikatafuta sababu akarudi alipotoka.
😅😅😅😅alooh
 
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.

Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.

Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.

Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.

Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company

Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.

Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.

Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.

Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.

Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.

Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.

Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.

Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.

Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.

Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.

Nisaidieni natokaje hapa.
Endelea kupigwa makofi mzee
 
Umekua dhaifu sana aisee kosa la kwanza ni kumruhusu kulala ile siku ya pili . Nenda kwenye dawati la jinsia na mahusiano kaelezee shida yako atatolewa na vyombo vya sheria. Huenda ukamlipa kiasi
 
Back
Top Bottom