Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

Kwamba miezi yote hiyo ulikuwa hujui kama umeoa mpaka leo hii ndo unashtuka!!?? Ni wazi ulifurahia papa la binti mwanzoni and now umeanza kumchoka ndo unaleta visa! Huyo ndo mkeo, tulia.
 
🤣🤣🤣🤣Yaani huyo kiboko,,,,na huyo ndio mke Sasa anayefaa mkaka mtukutuku kama huyu
Kajua kutuwakilisha 🤣🤣🤣
Dada ukistaafu uwenyekiti naomba huyo dada achukue nafasi yako 😂😂😂
 
Eti tangu alipokuja kwangu ameng’ang’ania!

Shenz sana msemo wa wajakoyo kum…… zako
 
Nipe namba yake nipo ghetto mwenyewe tu, nahitaji company yake.
 
Sometimes nawish ningekua naguts kama za huyo mwanamke imagine kungangania nyumbani kwa me kirahisi hivyo
 
Mtume mjini akufatie bidhaa akiondola chukua gari beba kila kitu cha umuhimu mkimbie
 
Waoe tu wote wawili
 
Penzi kitovu cha uzembe .
 
Panapoelekea huyo atakuja kukodi gari na kusomba vitu vya ndani vyote .
Pia akija kushika mimba atakusumbua zaidi.

Feki maisha uoneshe hali yako ya kipesa sio nzuri , punguza kumpa pesa za matumizi.
 
Kwani ukipiga hesabu vitu vya hapo ndani ulipo panga vina thamani gani?

Toka hapo tokomea muachie nyumba atajijua mwenyewe


Amani ya moyo ni bora zaidi kuliko vitu utqkavyoviacha hapo kumkimbia huyo mhuni wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…