Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

Mwachie,
Kila kitu sepa Anza upya wahenga husema
""KUANZA UPYA SIO UJINGA""

NB;
""LOVE IS JUST LIKE A WAR EASY TO START DIFFICULT TO END""

MIMI HUOGOPAGA SANA KUTONGOZA INNOCENT WOMEN THEN NIKAWAACHA SOLEMBA..

NILICHO JIFUNZA KWAKO WEWE NI GOOD BEHAVED PERSON πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚ TUKUFUNDISHE JINSI YA KUMPIGA KIBUTI DEMU??!

Mimi pia na roho ndogo na nyepesi na nikianzisha uhusiano walikuaga Wana fall in love hatare..

Wanaume hatufundishwi kuacha mahawara zetu😊😊😊
 
Ungetuletea tukushauri kwanza ingekuwa afadhali, huyo wako babu jifunze tu namna ya kuishi nae au hama nchi
 
Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.
Wanaume wa siku hizi bwana.....sasa unataka nini tena?
Wanawake wa hivi ni wazuri sana.

Labda tu awe jini
 
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.
Kaka Mbona unatuchanganya......Sasa ushapata Mke wa kuishi naye tena unaanza kulialia?

Kwanza ulipima HIV na Homa ya Ini au ulijitafunia tu bila kunawa?
 
Mzee imekula kwako ulioa MchawiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bila shaka upo nyumba ya kupanga ,
Mkuu si ujihamishe Kimyah Kimyah tuu, chukua nguo muhm vyeti vyako , amisha kimoja kimoja , unahamisha shati na suruali Kimyah Kimyah , then unanua mitumba unaweka ndan ,then ongeza upendo aone unampen (ndan ya miez 2 /3 unajiamisha taratbu then gafla unapotea

Muachie kodi ya miez 3 na furniture za ndan
 
Dada wa mwamposa alisema kweli.

We unamtafuna dada wa watu unasema anakusaidia tu
 
Hapo ww ndo unatatizo unaanzaje kukubali kuishi na mwanamke na unaruhusu awe kama mke kabisa ilhari una mwanamke mwingine ana mtoto wako? Unashida kwenye ubongo! Na tyr mwaka umeisha unaye sasa sku zote ulikua wapi? Hata mlevi hawezi kufanya decision za namna hio labda alikuroga.
 
Akimbie nyumba?
 
Kuacha demu naona ni Ukatiri mkubwa sana.

Yaani mpaka yeye ajiengue ila mimi siwezi
 
Sema hii ni chai, hamuwezi kumaliza mwaka kwao na demu hamjaenda. Akimfia hapo ndani atamzika wapi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…