Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike.

Kama kawaida baada ya romance nikaanza kumpelekea moto “Nilidumbukiza nyama kwenye kiota chake vilivyo hadi nikamwaga” wakati wa mapumziko katika kubadilishana mawazo akaniambia

“Mr. Nyboma kuna jambo nataka nikushirikishe nikamwambia kuwa huru nakusikiliza na hii January nikajua huyu hana jipya tofouti ya kuniomba pesa ya pango ama ada kwa ajili ya mtoto wake.”

Si akaniambia “ Mr unaonaje tukijaribu threesome? Siku hiyo nitamuita rafiki yangu tushiriki wote" aisee nilipigwa na butwaa maana binti yule ni msomi mzuri, mrembo na anatabia njema sana hivyo sikutegemea kama anamaanisha kweli ama anatania ila aliniambia yuko serious kwenye ombi lake hilo.

Nilimjibu tulia nitakuambia lini nitakuwa tayari kwa mtanange, sasa leo ndio napata moja moto moja baridi nikawa natafakari kauli ile moja kwa moja nikahisi “huwenda ni mchezo wa mwanamke huyu kufanya mchezo huu na rafiki na kuna mwanamme anakuwa ansimamia shoo”

Hivyo naombeni ushauri kwa wale ambao washajaribu hii kitu inakuaje? Je ni addictive ama unaweza jaribu mara moja ukaipotezea na usitamani kuifanya tena.
Yaani huyo mwanamke mpeleke hadi dubai...wala usilaze damu demu anamleta rafiki yake kabisa. Gonga hiyo threesome mzeya utaenjoy balaa ila hakikisha wanakuwa wamegonga monde kabla ya majamboz. Kweli ipo addictive ila ukishindwa nialike dodoma niwape raha hao warembo
 
Mzee kapeleke moto " iyo mambo huwa naitamani siku niifanye " mi nishafanya ile ya masela wawili na maduu wawili room moja huwa inanoga balaa
Uzinzi sio dili mwana alafu hayo mambo sio ya muhim u ktk maisha, sasa ulipata faida gn? Dah haya ngoja niunge mkono jamaa mmoja mbowe sio gaidi
 
Kwa mwanamke ni vigumu sana kutamka haya kutokana na nature ilivyo kwao
Huenda tena labda kasema ila hapana haileti maana
Haya mambo huwa yanatokea aidha kwa bahati mbaya mnakuta yametokea tu au labda apange mwenyewe bila kukuambia

Yaani aje kwako huku akiwa kamuita rafiki yake hapo italeta maana

Lakini kukutamkia moja kwa moja ni ngumu ingawa siku hizi watoto pia wamekuwa walevi hilo nalo linawezekana
 
Kwa namna yoyote ile tayar huyo mchepuko ni 3Gang sasa amua uachane nae au na ww ukajiunge bas shuhul iishe
 
Back
Top Bottom