Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

ile hela ya matofali imepata kazi tayari hapo😂😂😂 utajenga mwakani
Yaani mie kila nikishika hela oportunity ya threesome inajitokeza. Nikiwa sina hela ata topic za threesome humu jf hamna🤣🤣🤣🤣. Wacha nikomae na huyu mrembo naona tutaenjoy
 
Wakati unamwinamisha anataka awe ananyonya Simi la mwezake aise ,shetani tuonee huruma mungu huu mtego wako kutupima tunakuabudi nimkubwa Sana
 
Alishapewa colabo na rafiki yake, sasa nae anataka ampe colabo
 
Same to you mdogo wangu. Hiyo comment hapo juu SIO MIMI!
Hahahaha nimecheka tu watu walivyoreact mara sijui mke wa mtu, kwa utakatifu upi hasa waliokuwa nao,, Tena ni vile nimestaafu mechi za ugenini ila ningeifanya hiyo tena tungetafuta lidume letu lenye nguvu zake tukajifungia nalo......tungeua walahi
 
Wana jf ni watakatifu sana
 
Hahahaha nimecheka tu watu walivyoreact mara sijui mke wa mtu, kwa utakatifu upi hasa waliokuwa nao,, Tena ni vile nimestaafu mechi za ugenini ila ningeifanya hiyo tena tungetafuta lidume letu lenye nguvu zake tukajifungia nalo......tungeua walahi
Ngoja niwatafutie ticket za dubai tukaone huu mtanange
 
Back
Top Bottom