Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Unalilia nyumba ya mwanaume...aisee))
Tafuta fundi dishi moja litumike kwa ving'amuzi vyote.

Acha ushakumaku. Wewe si msemaji wa raHisAcha utoto wewe, Mh. Raisi anamabo mengi ya kushughulikia
Yuo Mjini na hahitaj msaada wangu.labda unipe namba ya mamako nimtumieHiyo hela unayopoteza kwenye ushindani wa kijinga si bora umtumie mama yako huko kijijini?
Huna ndugu wenye shida?Yuo Mjini na hahitaj msaada wangu.labda unipe namba ya mamako nimtumie
Vijana mnahangaika sanaNyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua seapiano kubwa sana kwa sasa nawafunika mbaya madogo.
Mimi niliweka Dstv ,nikaweka na azam na star times. Na wenzangu wamefanya hivyo hivyo na mwingine ana decoder 5 mpaka makampuni mengine siyafahamu. Tumepanga watu 9 hii nyumba tunashindana sana sasa natafuta madish mengine ya kampuni kali kama 4 ili jumla niwe nayo 7 nimshinde huyu dogo mwenye 5. Maana naona kama anajiona yeye ndo mwamba hapa.
Shida jana mwenye nyumba katuita. Anasema tutaangusha ukuta wa nyumba yake. Madishi yamekuwa mengi sana. So anataka kila mtu abaki na dish moja moja tu. Kama ukitaka kuongeza kila dish unalipia tsh 10 kwa mwezi.maana anasema yanalegeza ukuta.
So dish moja bure linalozidi kila moja tsh 10,000. Na tunaanza mwezi huu. Hapo maana yake tsh 60,000 kama ntaweka madish 7. Sasa jamani huu si unyanyasaji wa ki...nini sijui. Maana kuna unyanyasaji wa kijinsia, kiitikadi na kadhalika.
Hii siyo haki tunaomba rais aingilie jambo hili si sawa. Huku ni kama kutaka mchonganisha rais na watu wake. Ionekane rais au serikali haijali watu wake. Kumbe ni watu kadhaa wachache tu wanataka ichafua.
Hapana kwa kweli....mi ndo kwetu nina shida.Huna ndugu wenye shida?
Hapana mi sijahangaikaVijana mnahangaika sana
Hamia kiparang'anda au BurundiNyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua seapiano kubwa sana kwa sasa nawafunika mbaya madogo.
Mimi niliweka Dstv ,nikaweka na azam na star times. Na wenzangu wamefanya hivyo hivyo na mwingine ana decoder 5 mpaka makampuni mengine siyafahamu. Tumepanga watu 9 hii nyumba tunashindana sana sasa natafuta madish mengine ya kampuni kali kama 4 ili jumla niwe nayo 7 nimshinde huyu dogo mwenye 5. Maana naona kama anajiona yeye ndo mwamba hapa.
Shida jana mwenye nyumba katuita. Anasema tutaangusha ukuta wa nyumba yake. Madishi yamekuwa mengi sana. So anataka kila mtu abaki na dish moja moja tu. Kama ukitaka kuongeza kila dish unalipia tsh 10 kwa mwezi.maana anasema yanalegeza ukuta.
So dish moja bure linalozidi kila moja tsh 10,000. Na tunaanza mwezi huu. Hapo maana yake tsh 60,000 kama ntaweka madish 7. Sasa jamani huu si unyanyasaji wa ki...nini sijui. Maana kuna unyanyasaji wa kijinsia, kiitikadi na kadhalika.
Hii siyo haki tunaomba rais aingilie jambo hili si sawa. Huku ni kama kutaka mchonganisha rais na watu wake. Ionekane rais au serikali haijali watu wake. Kumbe ni watu kadhaa wachache tu wanataka ichafua.
Utoto raha.Nyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua seapiano kubwa sana kwa sasa nawafunika mbaya madogo.
Mimi niliweka Dstv ,nikaweka na azam na star times. Na wenzangu wamefanya hivyo hivyo na mwingine ana decoder 5 mpaka makampuni mengine siyafahamu. Tumepanga watu 9 hii nyumba tunashindana sana sasa natafuta madish mengine ya kampuni kali kama 4 ili jumla niwe nayo 7 nimshinde huyu dogo mwenye 5. Maana naona kama anajiona yeye ndo mwamba hapa.
Shida jana mwenye nyumba katuita. Anasema tutaangusha ukuta wa nyumba yake. Madishi yamekuwa mengi sana. So anataka kila mtu abaki na dish moja moja tu. Kama ukitaka kuongeza kila dish unalipia tsh 10 kwa mwezi.maana anasema yanalegeza ukuta.
So dish moja bure linalozidi kila moja tsh 10,000. Na tunaanza mwezi huu. Hapo maana yake tsh 60,000 kama ntaweka madish 7. Sasa jamani huu si unyanyasaji wa ki...nini sijui. Maana kuna unyanyasaji wa kijinsia, kiitikadi na kadhalika.
Hii siyo haki tunaomba rais aingilie jambo hili si sawa. Huku ni kama kutaka mchonganisha rais na watu wake. Ionekane rais au serikali haijali watu wake. Kumbe ni watu kadhaa wachache tu wanataka ichafua.
Wewe sio madishi wala nini.....🤣🤣🤣,mwisho ni umeharibu mwenyewe kwa kusema Raisi atoe tamko la msaada maana Kuna watu wanaharibu🤣🤣🤣Nyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua seapiano kubwa sana kwa sasa nawafunika mbaya madogo.
Mimi niliweka Dstv ,nikaweka na azam na star times. Na wenzangu wamefanya hivyo hivyo na mwingine ana decoder 5 mpaka makampuni mengine siyafahamu. Tumepanga watu 9 hii nyumba tunashindana sana sasa natafuta madish mengine ya kampuni kali kama 4 ili jumla niwe nayo 7 nimshinde huyu dogo mwenye 5. Maana naona kama anajiona yeye ndo mwamba hapa.
Shida jana mwenye nyumba katuita. Anasema tutaangusha ukuta wa nyumba yake. Madishi yamekuwa mengi sana. So anataka kila mtu abaki na dish moja moja tu. Kama ukitaka kuongeza kila dish unalipia tsh 10 kwa mwezi.maana anasema yanalegeza ukuta.
So dish moja bure linalozidi kila moja tsh 10,000. Na tunaanza mwezi huu. Hapo maana yake tsh 60,000 kama ntaweka madish 7. Sasa jamani huu si unyanyasaji wa ki...nini sijui. Maana kuna unyanyasaji wa kijinsia, kiitikadi na kadhalika.
Hii siyo haki tunaomba rais aingilie jambo hili si sawa. Huku ni kama kutaka mchonganisha rais na watu wake. Ionekane rais au serikali haijali watu wake. Kumbe ni watu kadhaa wachache tu wanataka ichafua.
Nili ona Moja Kenya, kwenye zile flat's aisee pale ni free marketing with un limited audience 😂🤣Ninapoishi hizi ni marufuku. Zinaharibu mandhari.
Ujinga hakuna uchumi hapo hao ni maskini wa kutupwa
SawaHamia kiparang'anda au Burundi
Rahis ndo anayetusaidia kwa sasa.leo tunamshukuru mvua imenyesha pia.Wewe sio madishi wala nini.....🤣🤣🤣,mwisho ni umeharibu mwenyewe kwa kusema Raisi atoe tamko la msaada maana Kuna watu wanaharibu🤣🤣🤣