Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.

Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.

Sijui hata kama anawashauri huyu.

Screenshot_20220910-054626_Instagram.jpg
 
Kuhusu kuimba jamaa anaimba Tena haswa wala usimsingizie

Labda kwenye hayo mambo ya kitoto nakubali lakini napo anaingiza pesa kupitia hvyo vituko anapata deals nyingi Kama interviews ja connection za Kaz

Anaimba kwenye hotel kubwa tu Kama new Africa hotel kempisky sjui ndio Kilimanjaro hotel

Haimbi kwenye mabaa ya ya hovyo

hyo ndyo ajira yake ulitaka akae ndan afe njaa mleta kada?

Watanzania tubadilike jaman kipaji ndyo kila kitu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.

Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.

Sijui hata kama anawashauri huyu.

View attachment 2351974

Unataka aje kwako akuombe pesa. Acha wivu na undezi jombaa we fata yako
 
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.

Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.

Sijui hata kama anawashauri huyu.

View attachment 2351974
kama unakereka na anachokifanya, kwanini unamfatilia kwenye mitandao ya kijamii?. mpige block ili usione content zake.
 
Be careful kuna dada alipumzika matumizi ya simu kwa muda kwa ajili ya huyu dingi .hadi alimtungia nyimbo ya box la karata. Ila nakushauri pia u mind your own life .we live once men na hajavunja sheria yoyote kwa kuimba. Ok. Katafute pesa mwenzio anatafuta hela. We na wenzako mnahitaji kitchen party kuwapeni somo
 
Back
Top Bottom