Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

Jamani mbona uyu jamaa anajua tu kuimba aisee mie naburudishwa sana na nyimbo zake aloo
 
kama unakereka na anachokifanya, kwanini unamfatilia kwenye mitandao ya kijamii?. mpige block ili usione content zake.
Labda jamaa hajui namna ya Ku_block wale asiopenda posts zao. Hilo ndilo LA kufanya
 
Alishakuja kwako kukuomba ugali ? Jali maisha yako wewe.
 
Heshimu kazi ya mtu ambayo ndo inamuingizia kipato,yani anapatia UGALI,kama binafsi haikuathiri/haiathiri shughuri/maadili ya watu.Yeye mwenyewe anajifahamu ya kuwa umri wake umeenda lakini atafanyaje sasa
 
Back
Top Bottom