Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.

Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.

Sijui hata kama anawashauri huyu.

View attachment 2351974
Wajinga wajinga ndio huishi mda mrefu...wewe kuwa siriaz kwa kila kitu uone kama hujafa na presha.
Huyu kamwe presha haitakaa impate milele
 
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.

Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.

Sijui hata kama anawashauri huyu.

View attachment 2351974
Inakuhusu nini wewe, kavae dels bn, hayo ni maisha yake we kaa kilalamika yeye anapiga mkwanja kwa vitu unavyoviita vya kipumbavu watu wanamlipahata weee ulikodownload video yako umemfanya alipwe
 
Huyu mzee anaimba kichizi hasa covers,,anaimba hadi Kiingereza na Kilingala,,Aliimba Mariana ya Fally Ipupa live kwenye Jahazi ni moto,,Anaitwa Babu wa Tiktok
 
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.

Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.

Sijui hata kama anawashauri huyu.

View attachment 2351974
Kweli kabisa mzee huyu kajichetua uzeen mi naona ana upungufu wa akili na si mzima kabisa
 
Back
Top Bottom