Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Kweli kila mtu na bahati yake.Ghafla nimemkumbuka Le mutuz super brand
Kama walivyotamka wajumbe wengine nami nakazia kwa kusema wewe mleta uzi ni MTU MPUMBAVU.Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.
Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.
Sijui hata kama anawashauri huyu.
View attachment 2351974
Tusiwalaumu sana watu wa namna hii.. Kuna vipindi viliwapita acha sasa walipizeAnajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.
Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.
Sijui hata kama anawashauri huyu.
View attachment 2351974
kavutiwa na danga lako nini mjomba, mbona dis za kutosha ivo?Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.
Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.
Sijui hata kama anawashauri huyu.
View attachment 2351974
HahahaAnajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.
Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.
Sijui hata kama anawashauri huyu.
View attachment 2351974
Tusiwalaumu sana watu wa namna hii.. Kuna vipindi viliwapita acha sasa walipize
Muziki ni Ajira, anapo imba hujiingizia kipato! usimdharau kwakuwa ndio passion yake!
Kama unaweza kuwa na channel za kumpa appart from music mcheki!