Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Hii video niliitizama Oct 2023, kipindi Israel inajiandaa kufanya mashambulizi Gaza kama retaliation ya Oct 7.

Nikaipuuzia, baadae baada ya kusikia mauaji ya watu karibu 40K nikaitafuta kwenye chanzo youtube nikakuta imefutwa.

Kwa kile wanachosema watu hapa kwamba Hamas ni human shield, kwamba IDF wanaua watoto kwa sababu wapiganaji wanajificha miongoni mwa raia. Nasema si kweli.

Kama mlivyoona kiongozi wa Hamas Sinwar ameuawa akiwa peke yake, hakuwa kwenye handaki wala kazungukwa na watu, ndipo tutambue kinachoendewlea Gaza ni mauaji ya makusudi dhidi ya wananchi wasio na hatia na watoto.

Mzee huyo mwenye miaka 95 (Ezra Yachin) ambae alikuwa motivational speaker wa askari wa IDF waliokuwa wakielekea Gaza aliwaambia.

" Hakikisheni mnashinda na mnawamaliza wote haraka iwezekanavyo na hata isiwepo kumbukumbu yao, wafuteni kabisa, watoto wao, mama zao na familia zao, hao wanyama hawawezi kuendelea kuishi, kesho Hezbollah wanaweza kuturushia makombora , na waarabu wote wanaotuzunguka hapa wanaweza kutugeuka , kwa hivi sasa hatuna kisingizio.

Kila myahudi mwenye silaha inabidi aende akawamalize, kama una jirani mwarabu usisubiri hadi afike nyumbani kwako , ingia nyumbani kwake na mpige risasi, msisubiri hadi watushambulie kwa njia ya anga na iron dome kuji activate , ingieni kabla ya hayo na tunajiandaa kuvamia sio kama ilivyozoeleka , tunaharibu na kusonga mbele, tunaharibu na kusonga mbele kwa mizinga na mabomu, ingia kwenye nyumba na iharibu"

Ukisikiliza maneno ya huyo mzee ambae ni veterani wa jeshi la Israel, utagundua anachokisema ndio agenda waliyokuwa nayo Israel, kuua watoto, mama zao na familia hapo Gaza

Huku wakitumia kauli yao pendwa ya kisingizio, kwamba Hamas na viongozi wao wanajificha mashuleni hapo waanataka kulenga vitoto, hamas wanajificha hospitalini hapo wanataka kulenga wagonjwa na mama wajawazito, kwamba hamas wanajificha makazi ya watu hapo wanataka kulenga familia zao.

Soma Pia: Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Inawezekana Hitler alikuwa katili lakini nahisi hakuwa kichaa, hakutokea kuwachukia wayahudi pasipo na sababu, nitafuatilia, nitafanya research kwenye vitabu mbali mbali kufahamu ukweli.

Nilichogundua elimu kubwa na siri nyingi kwenye hii dunia zimefichwa, ni wachache tu ndio wanajua, na ndio wanaoitawala hii dunia.

Pia si kila anayesemwa mbaya ni mbaya kweli.

Mfumo wa dunia unataka ujue na usome tu kile wanachotaka usome, ufikiri kile wanachotaka ufikiri.

Hii dunia ina siri nyingi.
 
Hata hayo mashambulizi ya Hamas Oct 7 ni baada ya mauaji na mnanyanyaso ya muda mrefu naamini Palestinians raia wake wameuawa wengi zaidi kabla ya hio oct 7.

Ni muda sasa Israel iwaache Palestinians iwe nchi kamili.

Kinachofanyika Gaza ni genocide, ni mauaji ya makusudi kwa kisingizio cha hamas wanatumia human shield.
 
Ha

View: https://www.instagram.com/reel/Cya89jlRgdb/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Haya shekhee. Kipozeo
Kama umechukia sana sogeza makaghari ukawasaidie ndugu zako magaidi
 
Ngoja nimalizie kutengeneza tumbaku yangu.
GXCPpXhWEAAhZkf.jpeg
 
Unatafuta huruma na afua ya vipigo kutoka kwa mazayuni?Ulipaswa uwashauri walioanzisha uchokozi wa 7 October watumie akili njema kuwaepusha raia na dhahma hiyo.Kwani walitegemea ingekuwa ni sherehe ya kula ubwabwa?
Hapo wa kushauriwa ni Israel awaachie hao jamaa ardhi yao, na watambulike kama taifa.

Hata babu zenu kina Kinjekitile, Chief Mkwawa n.k walipambana na ukoloni, ndicho kinachotokea hapo ME.

Hata South Africa walipambana na mkaburu, na ndicho kinachotokea Gaza, ila wazee wa mihemko watakuambia ni wavaa kobazi...
 
Kwa hiyo ardhi/nchi ya Israeli iko wapi hapa duniani?
 
Kwani mkuu, Israel ilikuwa wapi kabla ya WW2?
Kama wao walitoka huko waliko hawana ardhi wakafika pale wamekaribishwa...

Kwanini wasiruhusu wenzao wawe na taifa linalotambulika? Si uonevu huo?
 
Kwa umri huo,bado unasikiliza na kuamini kwamba Israeli haikuwahi kuwepo kabisa hadi mwaka 1948 ndipo ikaanzishwa?Kama ndivyo unavyoamini,hauna tofauti hata kidogo ya akili na kichaa sugu.
 
Tatizo Hamas waliwachokoza Israel October 7
Hata wewe ukichokozwa na jiran yako lazima uangamize familia yake
Ukishajua jirani yako ni mtata usimchokoze
Hio october 7 ilikuwa ni kisasi cha Hamas dhidi ya mauaji na unyanyasaji wa jeshi la Israel, hao ugomvi wao hukuanza oct 7..

Ukirudi nyuma utagundua tu Israel ndiye tatizo, hadi hao Paleatinians wanafanya kile tarehe 7 Oct walikuwa wamechoka, na wao ni binadamu...

Kama mtu hapa Tanzania, tunasikia mtu kamuua mpenzi wake kwa kumpiga risasi au kumchoma moto, vipi mtu anayeua watoto wako, anakalia ardhi yako kimabavu, utafanya nini?

Hao Palestinians ni watu kama sisi, wanaumia na wana kikomo cha kuvumilia...

Ndio maana kina Nyerere waliiunga mkono Paleatine, kina Mandela, si kwa sababu ya udini la hasha, ila ule ni ukoloni.

Hata South Africa wananchi wamepambana sana na makaburu kudai ardhi yao. Ndio maana SA wengi ni Pro Palestine cause issue inawakumbusha pia wao nyakati zao na harakati za kupambania uhuru.

Israel akubali, Palestine itambulike taifa, vita haitosimama.
 
😂😂😂😂😂Kama Israeli imeundwa mwaka 1948 na Palestina ilikuwepo,sasa Israeli wawapeje utaifa tena waliokuwa nao tayari?Kwani ni nani aliwapoka Palestina utaifa wao hadi waudai tena?
 
1917 British waliikamata Palestine...
Ndio hao wakaitambua Israel na kuwaacha Palestine chinj ya Israel...

Ile ni Israel ya mchongo...😂
 
Basi ni rahisi.Palestina wakawaambie Uingereza wawaoneshe uhuru wao ulipo.Laa sivyo wataendelea kuchakaa.
 
Hata hayo mashambulizi ya Hamas Oct 7 ni baada ya mauaji na mnanyanyaso ya muda mrefu naamini Palestinians raia wake wameuawa wengi zaidi kabla ya hio oct 7.

Ni muda sasa Israel iwaache Palestinians iwe nchi kamili.

Kinachofanyika Gaza ni genocide, ni mauaji ya makusudi kwa kisingizio cha hamas wanatumia human shield.
Waislamu na propaganda
 
Back
Top Bottom