Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tatizo hizo propaganda wanawafanyia wenye akili.Wangetafuta wapumbavu.Waislamu na propaganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hizo propaganda wanawafanyia wenye akili.Wangetafuta wapumbavu.Waislamu na propaganda
Brits wapi tena, nshakuambia ile ni Israel ya mchongo wale ni wazungu kutoka EU wapo pale kwa kujificha kwenye mwavuli wa Israel, ndio maana hata hizo agenda LGBTQ wanazitambua.Basi ni rahisi.Palestina wakawaambie Uingereza wawaoneshe uhuru wao ulipo.Laa sivyo wataendelea kuchakaa.
Rudia kusoma tena historia vyema.Palestine ipo na mipaka ipo, tatizo lao hawataki kukubali uwepo wa Israel, lakini wanataka Israel akubali uwepo wa Palestine, hapo kazi ipo.
Kwani utaifa wako unataka nani autambue ndio uwepo? wamezagaa kila kona ya dunia wanajiita Palestinian, sasa wanakuwaje na utaifa kama halipo?
PLO ilishindwa na HAMAS na HEZbollah watashindwa, huwezi kumkataa mwenzako lakaini unataka yeye akukubali.
Wakubali uwepo wa Israel naye atakubali uwepo wao.
Wana nunua ugomvi usio wahusu, IRAN anataka sifa anawatumia wengine kupigana, HAMAS na HEZBOLLAH wamejitolea kubeba ugomvi wa IRAN dhid ya Israel, sasa ISRAEL ikiwaua inakosa gani?
Wapalestina wangeachana na IRAN, wakaishi na jirani yao kwa amani wala kusingekuwa na shida yoyote lakini ugomvi wa kujitakia, mnavuna mauti ya kujitakia.
Sasa uislamu wapi na wapi?Waislamu na propaganda
Hata uwe umevuta bangi kiasi gani lakini hii ya Israel kuanzishwa 1948 as if haikuwahi kuexist inahitaji kujitoa ufahamu.Kwani mkuu, Israel ilikuwa wapi kabla ya WW2?
Kama wao walitoka huko waliko hawana ardhi wakafika pale wamekaribishwa...
Kwanini wasiruhusu wenzao wawe na taifa linalotambulika? Si uonevu huo?
Ilikuwepo mwaka gani hapo?Hata uwe umevuta bangi kiasi gani lakini hii ya Israel kuanzishwa 1948 as if haikuwahi kuexist inahitaji kujitoa ufahamu.
Wayahudi unaodhani si wa mchongo wako wapi sasa?Brits wapi tena, nshakuambia ile ni Israel ya mchongo wale ni wazungu kutoka EU wapo pale kwa kujificha kwenye mwavuli wa Israel, ndio maana hata hizo agenda LGBTQ wanazitambua.
Hakuna uyahudi wala watoto wa Yakobo, ukoloni ni ule ule , ndio maana wengi hapa mnashangaa kuna kitu gani Israel kusaidiwa silaha na misaada kiasi kile, ndipo utambue wale ni wazungu hakuna cha jews.
David Cameron mwenyewe alishasema yeye ni mzayuni....
Jipe utulivu pitia hapa. Ukiweza pinga kwa hoja.Ilikuwepo mwaka gani hapo?
Naomba jibu.
We uliona taifa la kiyahudi linakubali LGBTQ?😂Wayahudi unaodhani si wa mchongo wako wapi sasa?
Nitapitia...Jipe utulivu pitia hapa. Ukiweza pinga kwa hoja.
Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...www.jamiiforums.com
Samahani hivi unajua jiji la yerusalemu lina muda wa miaka mingapi mashariki ya kati Nataka tuchambue Israel ilikuwepo kuanzia lini naomba unifahamishe kama unajua rafiki?Nitapitia...
Ahsante.
Hivi jiji la yerusalemu lina miaka mingapi kule middle east,? Ili tupate kufahamu umri wa Israel huko mashariki ya kati angalau kidogo,Jipe utulivu pitia hapa. Ukiweza pinga kwa hoja.
Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...www.jamiiforums.com
Ubishi kila kitu ndio maana mnauwawa bila sababu za msingi.Rudia kusoma tena historia vyema.
Kasome Balfour declaration..
Hio sehemu yote Israel wanakaa unajua iliitwa British Palestine?
Kwa hiyo unataka mimi niwachagulie ya kufanya?Mbona wewe umechagua kujitoa ufahamu na hakuna anayekubughudhi?We uliona taifa la kiyahudi linakubali LGBTQ?😂
Hivi mbona mambo mengine mbona simple hata ukitumia akili za kuvuka barabara mzee?
Kwamba nchi ya ahadi...
Pale miaka ya 1920 paliitwa British Palestine.
Hata hayo mashambulizi ya Hamas Oct 7 ni baada ya mauaji na mnanyanyaso ya muda mrefu naamini Palestinians raia wake wameuawa wengi zaidi kabla ya hio oct 7.
Ni muda sasa Israel iwaache Palestinians iwe nchi kamili.
Kinachofanyika Gaza ni genocide, ni mauaji ya makusudi kwa kisingizio cha hamas wanatumia human shield.